Kufuta Chat messages

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Wakuu, naomba msaada wa namna ya kufuta messages zinazokuwa ktk folder la Chat. Yaani unapo-chat messages hiziingii ktk folder la kawaida la sms. Bali zinakuwa ndani ya folder la chat. Sasa ninahitaji kuzifuta. Nifanyeje?

(nimepewa simu nzur sana kwa matumizi ninayoyahitaji, lakini nilipoingia kwenye chat, hizo sms mmhh!!)
 
mkuu unatumia simu gani? kama ni Nokia ukienda kwenye Delete Messages itakupa list uchague ni folder gani la message unataka kufuta
 
Mkuu,mbona kitu unachoelekeza hakipo? Sizungumzii sms za kwenye inbox au outbox/sent items.
 
taja aina ya simu wataalamu wakusaidie! Siyo unasema simu nzuri sana.
 
Wewe inaonekana hutaki kusaidiwa, unatakiwa utoe maelezo yote ya simu,,Samsung Brand na Model gani'..kavp soma user manual ya simu
 
Back
Top Bottom