Kufungua kesi ya kutengua ubunge wa mawaziri wezi na kuwasweka lupango

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Habari zenu wana JF,
Just Mark my words, Hawa jamaa wezi pale Mkwe.re akiwapiga chini kwa Wizi walioufanya,mie ntaenda Mbali zaid kwa kufungua Mashataka Mahakama Kuu hawa Jamaa wavuliwe Ubunge, wafilisiwe na Kusekwa Lupango, kama sio leo (La kuvuliwa Ubunge), Hayo Mengine ntayasimia hata ikiwa 2015 pale CCM itakapokuwa chama cha upinzani....
 
MwanaJF mwenzangu naunga mkono hoja yako, sioni umuhimu wa kuvunja baraza la mawaziri halafu kama hao wanatuhumiwa hawatachukuliwa hatua zaidi. Kama hakutakuwa na hatua zaidi dhidi ya hawa mafisadi, nashawishika kufikiria kuwa utakuwa muda mwafaka wa kumwajibisha huyu jamaa(raisi). Kwa kweli watanzania tunatakiwa tuamke, tuchukue hatua hii nchi ni yetu sote na siyo kwa ajili ya section ndogo ya watanzania.
 
waletwe bungeni wakati wa bunge la bajeti na siku ya kikao cha mwanzo order paper isomeke kazi ya kwanza kunyonga mawaziri wezi,wanyongwe asubuhi pale mlango wa bunge
 
Back
Top Bottom