Kufungiwa MwanaHALISI na kuachwa Radio Imaan...

Status
Not open for further replies.
hivi karibuni, serikali ililifungia gazeti la mwanahalisi kwa madai ya 'kuhatarisha' usalama wa taifa. Uamuzi huo wa serikali kuwafungia mwanahalisi wawezakuwa na maana kwa maana halisi ya kuhatarisha uslama wa taifa.

Lakini mwenye akili lazima ajiulize swali hili; je, ni mwanahalisi pekee ndilo 'linalohatarisha' usalama wa taifa?
Hii radio imaan ambayo hurusha matangazo ya uchochezi wa dhahiri kwa waislamu dhidi ya serikali na wakristo, hai-hatarishi usalama wa taifa?

Hivyo vyombo vinavyohusika na kufuatilia na kuthibiti vyombo vya habari ikiwamo wizara ya habari na tcra, ni kweli havijui kinachorushwa na kuhubiriwa na radio imaan?

Kama vyombo husika havijui kinachorushwa na kuhubiriwa na radio imaan na baadhi ya magazeti ya kidini basi ni wazi kuwa miaka michache ijayo tanzania itakuja kuwa na rais ambae ni mlemavu wa kusikia (kiziwi) na kuona (kipofu), rais wa aina hiyo, kwa kuwa haoni angetegemea kupata ushauri kutoka kwa washauri wake, lakini kwa kuwa hasikii basi hilo halitawezekana!

hapa naona unataja vyombo vya habari vya kiislam tu.lkn jua vikifungiwa na vyenu kamawapo fm vitajifunga wenyewe. Maana maandamano yakwanza yatafikia redio maria kuvifunga kwa nguvu
 
hao na redio yao sasahivi hawaguswi hao, na ndio maana unasikia kila siku ya kiundwa makundi kwa makundi kama uamsho mara hatushiriki sensa, mara kadhi,

jiandaeni wapo fm na redio maria kuwa tawi la redio imaani mkivifungia
 


Jamani hata kama ni umbumbumbu sasa huu umezidi! Tuliaminishwa kuwa kitendo cha gazeti pendwa la Mwanahalisi kuweka wazi mtandao mzima uliotumika kumwangamiza Dr. Ulimboka kuwa ilikuwa ni uchochezi na kuhatarisha usalama na amani kwa Taifa, na hukumu yake likafungiwa!!
Sasa naomba nijulishwe, kwa mtu mwenye akili timamu anaposikiliza matamko ya kampeni zinazofanywa na redio hii (Imani) juu ya waislamu kufanya chochote kwa mgongo wa kujilinda, Je, Serikali yetu ndio inachoona kuwa kinafaa? Siku wakristu nao wakiamua kuingia mtaani wakacha ustaarabu wao wa asili wakavaa wendawazimu kama huu, nchi hii itatawalika?

Rais wangu interijensia yako na mamlaka yako vipo wapi? Je, akina Mnyika wakikwambia kuwa wewe ni dhaifu si ina maana wanakuambia tupa blanketi pembeni kumekucha?

Je, Kama Chadema wanafanya maandamano bila fimbo, jiwe, visu wala siraha wanaambiwa wanahatarisha AMANI, inakuwaje kwa yaliyotokea MBAGALA na pale kwa Rais PONDA?

Mimi ni mzee wa KATI!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom