WE ARE JUST COUNTING DAYZ,NDOA ZINA RAHA YAKE!
ingawa miaka miwili ya mwanzo huwa ni migumu kidogo kwa vile kila mtu anakuwa na tabia na udhaifu wake,mnahitaji muda kuzieana na KUCHUKULIANA MLIVYO!thereafter,NDOA INA RAHA YAKE BWANA
Una uhakika...??? isije ikawa mtu kaja na mabomu kaamua kuvaa kama hivyo........ Sioni chochote cha kunifanya niamini hao waliojifunika ni wanawake......teheeeHii ni Harusi ya kiislam! Bi Harusi ni miongoni mwa waliojifunika hadi machoni