Kufunga kampeni arumeru mashariki

engineerm

Senior Member
Aug 30, 2011
106
19
Wana jf naombeni nielewesheni,kama uchaguzi wa Arumeru ni tar 1 ambayo ni jumapili,kawanini vyama vimefunga kampeni leo na kwanini isiwe kesho jumamos?
 
Wana jf naombeni nielewesheni,kama uchaguzi wa Arumeru ni tar 1 ambayo ni jumapili,kawanini vyama vimefunga kampeni leo na kwanini isiwe kesho jumamos?
Labda kama umedanganywa lkn kampeni hazijafungwa leo. Tunamalizia kazi kesho jioni.
 
Kampeni zinafungwa kesho jioni saa kumi na mbili.
Chadema watafungia Patandi
Magamba King'ori
 
Back
Top Bottom