Kufunga account ya FACEBOOK ya wife wako

laussane

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
255
131
Hi wajameni!

Nina rafiki yangu nawasiliananae sana kwa FB, ana kama wiki ya pili sijamuona akilog in, nikampigia simu kufahamu vp mbona apatikani kw FB? akaniambia mme wake amemfungia account. Naomba mnijuze hivo mume kufunga account ya facebook ya mkewe ni wivu uliopitiliza, ubabe, masharti au unyanyasaji? mwanamke hafanyi kazi kwamba atakuwa busy kazini, yupo nyumbani kutwa mzima, yupo mbali na familia yake ya uzawa, kwa maana nchi ya tofauti, mme wake amemfungia account yake ya facebook ambayo kidogo ilikuwa inamsogezea siku kwa kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki, afanye nini? au ni haki yake mume kufanya hivo?
 
Mambo yao mapenzi waachie wenyewe. kwani mke wake alikuja kwako kulalamika au wewe ndo uiliyekuwa na kiherehere cha kumwuliza. Heshimu ndoa yao na makubaliano yao
 
I thought you would give us reasons why the husband decided to do so......

It is not too late, we are waiting top read from you....
 
nahic ni kwa usalama wa ndoa phyiscaly and emotionally... It's that simple..
 
wanajuana wenyewe. Unajuaje labda alikua fb addict? Ukiitumia vibaya fb ni sawa na kuacha nyumba ukashinda unapiga stori/umbea vibarazani
 
Kama angekuwa kaonewa angelalamika. Lakini kwa sababu yupo kimya ujue na yeye karidhia. Waache.
 
Binadam bwana.......Wakati mwingine wanafurahisha sana,mi nafikiri siku mbuzi wakipata ufaham kwa nusu saa tu watatukimbia wote!
 
tatizo la kukimbilia ma celebrety mnajuta kwenye ndoa
omba MUNGU Akupe wa ubavu wako pepo unaianzia hapa hapa dunian..asbh hny umefika salama,mchana hny umekula,saa nne hny ujaenda mjini,saa kumi hny unatoka saangapi,kuminamoja hny ushaondoka,5:30 hny umefik wapi jamani nimekumiss,0600 hny jamani mbona hivyo miss you umefika wapi ..niko siinza kumbe uko getini unapiga honi..mara suprise we utapenda jamani tuombe wake wa aina hiyo tusikimbilie jina tumeoa ndoa ndoana ukipenda iwe
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom