Kufumwa ukiangalia picha za ngono!

kama mie soon nitabambwa naangalia,nadhani hawataaamini naangalia watu wakitigoana ....:mad2::shut-mouth:

Mhhhhh! haya bana...ole wako ubambwe LOL! utatamani ardhi ipasuke.
 
Mi dingi alinibamba miaka ile ya tisini naangalia mkanda wa X usiku wa manane. Aakaninyatia sebuleni na kunikwida kwa nyuma " Unafanya nini hapa" nikashindwa kujibu, akanipiga kofi moja na kuniambia nenda kalale, huku yeye akibaki anacheki porn

like that. He's the greatest father.
 
kama mie soon nitabambwa naangalia,nadhani hawataaamini naangalia watu wakitigoana ....:mad2::shut-mouth:

weeeeeeee wacha bwana!!!!!!"" daaah hadi nimesisimka..... ebwanaeeee kumbe tigonation iz real surviving
 
nakumbuka back then niko o-level home tulikuwa na desktop comp sebuleni.... cku moja nyt kali bimaza akanifuma naangalia hayo madude...kilichomstua alitoka room kwake akamwamshe dogo akakojoe basi si akaona mwanga kwa sebule coz taa zote zikikuwa zimezimwa..... akanitokea kwa nyuma "NDIO UNAFANYA NINI HAPO"daaah nkawa kama nimepigwa na radi no utetezi.... ila tommorow nkamsabahi huku aibu kibao akaitikia ...nkawa naishi kama digidigi.. ile computer ilihamishwa kimyakimya.... daaaaah
 
Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF,
Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza kufoka kujua ni kwa nini unaangalia picha hizo za ngono.
Kumbe alikuwa akikufuatilia kwa muda tokea unaingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa mpaka unafungua baadhi ya wadada wali watupu!
Anaanza kuwaka kwa hasira na kusema kumbe wewe ni msaliti wa ndoa yenu maana haimjii akilini kuanza kuangalia picha za utupu na wakati yupo available..
Kama ndio wewe ungefanya nini kumrudisha wenye mood? msaada tafadhali wanaJF

pole sana kwa yaliyo kukuta uwe makini nyakati zingine.
 
Back
Top Bottom