Kufumania na kufumaniwa kipi bora?

Japokuwa inauma...! Si dhambi wala si kosa kufumania, lakini ni upumbavu, ujinga, aibu, ni dhambi umetokea hadi umefumaniwa....! Labda nikushauri uingie maabara na ujaribu yote, then uje na majibu....!
 
Hapo wala! Mrudieni tu Mungu hasa aliyefumaniwa maana si wewe ndo ulikuwa ukivunja amri ile ya Mungu usizini
 
Toa sababu kuntu kutetea jibu lako .

duh hivi kumbe bado watu wanafumaniana tu hadi sasa,, loh mambo ya kilongi kweli hayo ck hizi mbona mambo hadharani tu, hakuna kuficha ukiwa na mpango wa kando unamwambia tu mweziao kwamba uko 'study tour' baadae unarudiana nae poa tu!! yyani kwa mtazamo wangu kumnyatia mtu wako ili umfumanie ni sawa na kumvizia kuku wako mwenyewe na kumpiga manati! si umngoje tu arudi bandani umkamate?? inahusu kweli kumnyatia na manati???? mambo ya kizamani hayo
 
bora nifumanie
nitasubiri wamalize ndio niulize ili nijue mbinu gani ametumia ambayo mimi siijui ili nikiwa na mwengine nisisubiri kufundwa nianzie mwenyewe,
 
mmh! Vyote hovyo. Hapo ni kudharilika na kufedheshana tu. Ila bora nifumaniwe bt iwe na mwanamke wa kueleweka, mwenye vigezo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom