Kufuli na utambuzi wa wapare, kuna ukweli wajamani.

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Nipo maeneo ya Same, nimeamua kumpa lift mchaga wa kishimundu anaelekea kwao milimani toka Mombo baada ya bageni ya mda mreefu juu ya nauli, nikaona isiwe tabu, bora nimpe lift tu.

Jamaa ndani ya gari ananiabarisha, ukitaka kumjua mpare katika majeruhi wa ajali kama ya basi hivi kwa jinsia ya mwanamme. Wewe tafuta kufuli ya mwanadada hasa Yule aliyenona. Pitisha katika pua za majeruhi wote. Atakayepiga chafya tu, ujue huyo ndiye mpare.

Ya Mombo Tanga nimepeleka kwenye kamati ya mapitio kabla sijaiwakilisha hapa jamvini. Ila nitawapeni kisa na mkasa cha mombo hapo baadae

Siku njema wa JF
 
Msandawe una utani na watani zangu...juzi ulikuwa mtwara ukaleta kiroja leo upo mombo. Tafadhali usifike kwetu moshi. ishia huko huko
 
Moshi nitapita kimya kimya, hawa jamaa wamekuwa wakali katika jamvi letu hapa. Mara Ohhh! Wachaga wachaga kila siku. Mimi najua kwa nini hawa jamaa wakali ukiwagusa, WAMEFULIA JANUARY. Ngoja tuwavutie pumzi. Acha wapumzike, Hija siyo maskhara kule milimani, huwa wanashindana kuzungusha round.
 
Unajua mbege ya elfu kumi unapata lita ngapi?
 
Nipo maeneo ya Same, nimeamua kumpa lift mchaga wa kishimundu anaelekea kwao milimani toka Mombo baada ya bageni ya mda mreefu juu ya nauli, nikaona isiwe tabu, bora nimpe lift tu.

Jamaa ndani ya gari ananiabarisha, ukitaka kumjua mpare katika majeruhi wa ajali kama ya basi hivi kwa jinsia ya mwanamme. Wewe tafuta kufuli ya mwanadada hasa Yule aliyenona. Pitisha katika pua za majeruhi wote. Atakayepiga chafya tu, ujue huyo ndiye mpare.

Ya Mombo Tanga nimepeleka kwenye kamati ya mapitio kabla sijaiwakilisha hapa jamvini. Ila nitawapeni kisa na mkasa cha mombo hapo baadae

Siku njema wa JF
naona una project ya kuzunguka nchi nzima maana juzi ulikuwa Rufiji ukakuta watoto wa mwenzeji wako hawafanani usisahau kupitia Sumbawanga halafu Pemba kisha malizia Mombasa kwa watani wetu wa jadi
 
Haipo kwenye ratiba yangu, ikinibidi nitaenda. Ila kwanza nitengeneze ile bati ya kufunga na kufuli sehemu ya mkanda
 
Moshi nitapita kimya kimya, hawa jamaa wamekuwa wakali katika jamvi letu hapa. Mara Ohhh! Wachaga wachaga kila siku. Mimi najua kwa nini hawa jamaa wakali ukiwagusa, WAMEFULIA JANUARY. Ngoja tuwavutie pumzi. Acha wapumzike, Hija siyo maskhara kule milimani, huwa wanashindana kuzungusha round.

Bora bana moshi we pita kimya kimya best na kweli Jnauary hii ni kufuria kwa kwenda mbele
 
Kwa taharifa yako tu. Wapare ndio wanaongoza kwa kulalamika pindi wakiwa wanatongoza. Wengi wao ufikia kulia kabisa. Halafu hawa jamaa awadumu kazini mda mrefu kama ofisi ina jinsia ya kiume tu. Wanadumu pale kwenye ofisi za mchanganyiko.
 
Back
Top Bottom