Ben nimesikia vizingiti kwa vijana na udhibiti na ubanaji wa uchangiaji wa fikra tofauti huko CHADEMA, sasa mabadiliko gani yataletwa na watu/ chama cha aina hii...mimi nimekua nikifikiria kujiunga huko, lakini kama nitalazimishwa kuvaa gwanda, kuimba nyimbo na fikra za mwenyekiti sijui itakua changamoto gani sasa hii..............naomba ufafanuzi au msaada wa maelezo yakinifu toka kwako