Kuflash modem ya airtel

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
naombeni msaada jamani ili niweze kuflash modem yangu ya airtel, modem yangu ni hizi mpya za sasa, nisaidieni hatua kwa hatua namna ya kuiflash ili nitumie line yoyote
 
naombeni msaada jamani ili niweze kuflash modem yangu ya airtel, modem yangu ni hizi mpya za sasa, nisaidieni hatua kwa hatua namna ya kuiflash ili nitumie line yoyote
Kabla ya kununua hiyo modem ulitakiwa kwanza uwaulize wazee Modemu fresh ni ipi ili wakushauri but umesubiri mpaka maji yamekuwa mazito ndo waomba msaada!!
Anyway jaribu temporary na hiki kidude Download Huawei.unlocker.rar @ UppIT ikishindikana ndo basi tena tumsubiri Calvin Power labda atakuwa na solution
 
Back
Top Bottom