Kufikisha Ujumbe kwa Waziri wa Elimu ya Juu

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Habari?

Nahtaji kufikisha ujumbe wangu kwa waziri wa elimu ya juu.. Je nifanyaje?? Na, hakuna uchakachuaji wowote wa ujumbe unapokua unasafiri kwenda kwake?? Maana wasiwasi wangu huenda ujumbe wangu usimfikie na badala yake ukakomea njiani..
 
Back
Top Bottom