kufikia paleee...nisaidieni JF.

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
wapendwa, mungu awape life zaidi. Jamani mm nataka kuanzisha NGO yangu, dhidi ya haki za wanyama(animal welfare) baada ya kumaliza utafiti wangu. Nimeisha andika proposal na contact za funders ninazo. Swali langu: je nini kinachohitajika zaidi as attachment, je kuna mambo ya kisheria hapa? Endapo una sample ya non-profit proposal, nakaribisha. Natanguliza shukrani kwenu.
 
Wiseboy i found a very nice thread of how to start an NGO katika forum ya Sheria kama sikosei...

Hapa ni Mapenzi, Mahusiano na Urafiki.... nakushauri uende kwa wataaalamu forum

ya Sheria au hoja watakusaidia zaidi...
 
Wiseboy i found a very nice thread of how to start an NGO katika forum ya Sheria kama sikosei...Hapa ni Mapenzi, Mahusiano na Urafiki.... nakushauri uende kwa wataaalamu forumya Sheria au hoja watakusaidia zaidi...
thnx for that, b blessed.
 
Back
Top Bottom