Kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie ya x

Mambo ya kizamani sana..ndio maana tatizo la hii kitu linakuwa kubwa na waganga wanaongezeka coz you usually want to compare with those from the movie. Zile siyo nguvu zao wanaongezea..usije ukajikakamua bure ukauishia kutegeshewa drip la glucose..
 
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?

Kumbuka zile move ni recorded pale wanaunganisha vipande vingi sana, sasa usije iga ukazani ile move labda imechezwa kwa dk 30 au zaidi.. wamesha cut na kupest mara kibao huenda move hiyo imerudiwa wiki nzima na wewe unadhani ya siku moja shauri yako. Fanya kivyako..:A S 465:
 
ni kwa ajili ya wale ambao wako slow kuamka. Mkuu wengine mpaka waamshwe kwa muvi kama hizo.

Umenikumbusha kuna mzejo mmoja yeye huwa hadi ashtuliwe kabisa yaani unamfanyia timing unamshtua ile ya kitoto uhhhuuuuuuuuu akishtuka kitu ndo inasimama!!! Yaani huyo demu wake anayo kazi!
 
Back
Top Bottom