Kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie ya x

Mwadui

Senior Member
Dec 17, 2010
102
2
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?
 
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?

Mmh! Hebu tueleze kwanza wewe umepata athari gani? Coz jambo hili c lakitoto!
 
Athari ya kwanza kubwa ni kuwa utaanza kucompare..............na hapa ndo mwanzo wa tabia nyingi chafu katika mahusiano
 
Athari ya kwanza ni kuwa bize na kuangalia movie badala ya kufanya muvi yako live.
Ndo maana kiwango duni sababu ya divided attension labda kama umezoea self sevisi
 
Athari ya tatu hutoweza kufikia viwango vya kwenye porno, maana wale wako kibiashara na wanatumia kemikali, na hivyo kama uko na mtu wako atakudharau na kukuona huwezi kufanya kama wanaume wenzio!
 
Angalia wakati wa mapumziko mkivuta pumzi........husaidia kurejesha hisia :lol::embarassed2::eyebrows:
 
Kwanza wewe ni wa kike au wa kiume??? Unafanya huku umekodoa macho kweye screen!!! Utapoteza uwezo wa kujiamini, na pia utaendelea kuwa limbukeni!
 
Wala haina raha,raha inakua pale unapofanya movie yako mwenyewe kwa kiwango chako na hisia yako na mpenzi wako...
mie naona watu wanaoangalia hivyo vituko nawaona kama vile uwezo wao mdogo au kama vile gari mbovu haiwaki mpaka uishtue kwenye kilima ndio upande kwaufupi dhiki moja kwa zote.....
 
kwanza ni ushamba kufanya hvyo, hapo inaonyesha hamjiamin ata kdogo mpka mchukue ujanja kwa hao wa2.!!! Basi mi wa2 wanaocheza hzo muvy ndo huwa wanakuja kuangalia game yetu kwanza kabla hawajapiga yao..
 
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?

Kuna raha gani ya kuangalia Documentary ya Mapishi wakati unakula? Acha ****** dogo, tafuta hela!
 
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?

Athari yake ni kwamba kila utakapo taka kufanya lazima uwe na hiyo kitu Mzee wa megawati akichukua maanake huwezi fanya
 
Kwani wendawazimu lazima mtu atembee uchi tu barabarani, hata anaye tazama WATU WAKO UCHI ASIO WAJUA kama mzima kweli atatazama midude ya wenzake IWE KWENYE VIDEO AU LIVE huo ni wehu tu :biggrin:
 
Back
Top Bottom