Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,129
Pamoja na Imani na Dini na kila kitu, hata kama mtu atasema hana Imani na Mungu yoyote yule, nakubaliana na MziziMkavu kwamba mwanamke akiingiliwa wakati wa hedhi hana furaha/raha katika hilo, kwa hiyo inaweza mjejengea hali ya kuichukia hio kitu.
Kwa kuwa hata mimi sijui vizuri nitafurahi nikipata elimu zaidi juu ya hilo hata kutoka kwa wanawake wenyewe.
Ndugu yangu, hujawahi kuwa katika siku zako halafu ukawa karibu na mwenza wako ambaye uanmpenda sanaa halafu akakushika tu hata bega au mkono jinsi unavyosisimka na vitu vinavyomwagika. msisiko huwa unazidi kuliko hata siku za kawaida ila tu ndio sio vizuri kufanya wakati huu ila ikizidi hamu jinsi hakuna najimwaga tu na raha inakuwepo tu