MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Kiafya haina tatizo ikiwa mwanamke hana uambukizo wa maradhi kama STD; gono, kisonono, kaswende etc. na mwanaume hana uambukizo na michubuko nk.

Hivyo ni salama kabisa ikiwa hali ya awali imejumishwa katika tathmini. Kikubwa tu ni hofu na fikra kwa kutokujua. I mean we are not well informed.

Angalizo tu ni kwamba it is not hygienic but no health d/effect if contrary is committed yaani hamna madhara kiafya. By not hygienic it means that one can stain the beddings, unpleasant boold smell, etc Kwa msaada zaidi wasiliana nami ili tufanye utafiti wa kina.

You can use condom; both male and female partner for hygiene or any other means one can find reliable.
Thank you for your technical advice regarding intercourse during menstruation.
Though there is no harm or effect on one committing sex during periods but personally wouldn't encourage it for many reasons.

Reason 1. The situation is more or less into existence for less than 5 days why can't one tolerate and enjoy a clean Vagina there after? Reason 2 and being the last one on mentioning a few, in both believes Muslim and Christianity a woman in her period is unclean and therefore should be ridiculed till she has healed from the situation. How come then you are gready of something dirty and ridiculed? As you said a more research should be conducted.I stil believe this isn't a safe act.
 
Mimi ni mmoja ambao huwa siku hizi huwa siangalii huwa na DO tu........sijaona madhara yoyote kuna wakati jamaa aliniambia kuna madhara kama kupata kansa ya kibofu na magonjwa mengie ya kibofu....

Sasa kama unafahamu lolote kuhusu hili zaidi basi mwaga hapa kila ili na wengine ambao wanaDO hii style lakini wanaogopa kusema
Ni bora uelezee kwa undani maana, hii imewakumba wengi na wengi wao hupatwa na magonjwa ya ngono katika mfumo wa uzazi, mwisho wa siku uambiwa chanzo kikuu ni ufanyaji mapenzi wakati wakiwa hedhi.
 
sidhani kama shipa linatokana na hii.......watu wengi wanao fanya kipindi hiki wanasema hawajapata dhara lolote hata hilo mkuu Kibunango ulilosema sijasikia wakisema hivyo na binafsi sijawahi kupata.....

Ubaya au uzuri wa hili, ni kwaba, madhara hayatokei on the spot..........
so, we hv to take care, hasa hasa for girls.
 
Mmmmm post nyengine jmn unamuendeajd mwanamke akiwa ktk hali hiyo kweli?
 
Nilishasoma mahali kwamba mbegu za kiume zikipita kwenye damu zinapoteza genetic material inayosababisha rangi yaani melanin hivyo mtoto atakayezaliwa anaweza kua albino(nafaham chanzo sahihi cha albinism). Kwa anayeyajua haya kama yana ukweli anaweza kuongeza.
 
Wanajamvi hivi kuna madhara yoyote ambayo mwanaume/mwanamke anaweza kupata endapo watafanya mapenzi mwanamke akiwa kwenye hedhi?.Naomba kuwasilisha.
 
Ngoja waje wataaramu wa masuala ya mahusiano,na mimi nijue hili.....
Naona mzee unahamu ya kugegeda na demu kakugomea sababu ya hedhi,kama nakuonaaaaa jinsi ulivyonuna asubuhi ya sikukuu
 
Wanajamvi hivi kuna madhara yoyote ambayo mwanaume/mwanamke anaweza kupata endapo watafanya mapenzi mwanamke akiwa kwenye hedhi?.Naomba kuwasilisha.
Kwa mujibu wa wadau hakuna shida yeyote kama utatumia zana ila ni uchafu hicho kitendo kukifanya kwa wakati huo
 
Siyo vizuri... adhari zipo kama vile mambukizo kwenye mirija ya kupitishia haja ndogo...
 
Ngoja waje wataaramu wa masuala ya mahusiano,na mimi nijue hili.....
Naona mzee unahamu ya kugegeda na demu kakugomea sababu ya hedhi,kama nakuonaaaaa jinsi ulivyonuna asubuhi ya sikukuu
wamekuja mkuu,yamenikuta na staki kuchepuka mkuu ndo maana
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom