kufanya mapenzi/ngono kwenye gari yako ni kosa kisheria??

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by chopincho, Jan 16, 2012.

 1. c

  chopincho Senior Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polis akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polis kufungulia charge.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo sawa na kufanya mapenzi hadharani,
  Lakini kwenye gari ni uchafu
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,539
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Sio uchafu....
  Labda hizo sheria na hadhara zake....what if tinted? I mean legally.
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,898
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kosa si kufanya mapenzi kwenye gari, kosa ni hilo gari lipo wapi.

  Unaweza kufanya mapenzi kwenye gari ndani ya fensi ya nyumba yako, na ukawa hujatenda kosa kisheria
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 3,095
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  mkuu inaonekana ndiyo mchezo wako huo vipi??
  Walikufumania pande zipi unakula mambo??
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama ni tinted gari ikitikisika na watu wakaona gari linacheza kiIdd Amin na wakathibitisha pasipo shaka ni kosa kisheria.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,176
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Kufanya mapenzi hadharani ni kosa...kama Gaijin alivyoeleza, inaegemea na mazingira!
  Kama gari lipo sehemu ambayo ni public place, hilo ni kosa na mnastahili adhabu ya kifungo
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Au unawatoa wafanye mbele za watu wakiwashuhudia wao si wanajidai wananyege sana
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,071
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  I second you G. Kbs wengine watajidai ni ucku, hatuonekani..... kwani public place ina ucku au mchana? Mwisho wa siku its illegal, immoral, unethical, na inadhihirisha unyama na uchafu wa binadamu......
   
 10. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchafu kwako kwa wenzio burudani
   
 11. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I disagree with you 100%. Kwani kuna uchafu gani ku**mbea kwenye gari?

  Unaonekana huna swagga mkuu, ni hatari kwa afya ya mahusiano yako na mkeo/mumeo!
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,539
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Mwalimu unaweza kunipatia maana ya hadhara?
  Kwamba ukiwa ndani ya uzio wako sio hadhara, regardless of what?
  Kwamba legally, hadhara ni 'public'?
   
 13. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 1,667
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi popote Bandugu
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,754
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  sawa kabisa.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu JF Platinum Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 55,659
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 113
  Ukiwa ndani ya uzio wako hauko hadharani tena. Hadhara ni sehemu ya wazi ambayo kila mtu anaweza kuona lolote lile linalofanyika.
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,932
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 48
  Inategemea na mahali gari ilipo....
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,176
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  hi SL...nimekumiss, naona ndiyo unaamka! how is ur day?
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,932
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 48
  Hi too Rejao..... Niko poa kabisa, mie pia nimekumiss sana, siku hizi mbona twapishana sana?
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,176
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Nakuwa tit sana...but leo nimejitahidi kuwepo muda mrefu...wewe leo hujaonekana kabisa
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,932
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 48
  Pole kwa kubanwa, naamini ni kwa wema! Mimi pia nilikuwepo sema sio kivile, afu siku hizi nimekuwa na tabia ya kuishia chit chat, labda ndio mana hatukutani...
   
 21. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #21
  Jan 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,176
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Afadhali tusiwe tunakutana kwingine...natamani mimi na wewe tuwe tunakutana tu Chit Chat na MMU...but kule kwingine nooooooooooooooo!!!!
   
 22. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #22
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kosa ni kufanya hadharani! nini maana ya hadharani?----tunaweza kusema penye watu wengi---wengi wangapi? sheria haisemi.
  kufanya ndani ya gari ni sawa...kama sheria ingekataza ingesema basi ni wapi pa kufanyia! mkuu unaweza pia kujaribu juu ya mti, choo cha umma, au kwenye lifti...
   

Share This Page