Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

BAK unadhani..... sijawahi kukanyaga kwenye beach hata moja kati ya hizo nilizo ziorodhesha. Nimegoogle tu mwaya ili kumsaidia The Boss. Lol. Maana ameonyesha yuko interested afu ku google hataki.

Dah! NK una uzoefu wa hali ya juu katika kujirusha kwa raha zenu :) sehemu za ufukweni mwa bahari. Unaweza kutunukiwa degree lol!...

Last edited by a moderator:
Jamaa wamechambua vizuri. Polisi ni kero sana hata ukiwa unapata mihogo wanakufuata. Ngoja nitashuka na mashineeeeee

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Dawa mpya ya polisi we weka triangle/reflector piga hazard endelea hata usitoe gari pembeni ya barabara. Imarisha ndoa then endelea na safari. Ukitaka heshima vijana watakusaidia ndipo utaona mkeo anakuimbia taarabu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Jamaa wamechambua vizuri. Polisi ni kero sana hata ukiwa unapata mihogo wanakufuata. Ngoja nitashuka na mashineeeeee

Sent from my BlackBerry using JamiiForums

lol! mihogo ya kukaanga au ya kuchemsha? :) Angalia lakini baada ya kuweka reflector kusiwe na mtikisiko wa aina yoyote ule wa gari :):) vinginevyo imekula kwako.
 
dah hivi nikweli tumepotea hivi? tendo la ndowa nitendo muhim sana na linaheshima yake ukiona mtu halisamini anadiliki kufanya ovyo ovyo huyo kapotea na hajitambuwi kabisaaa na anahitaji maombezi.
 
Haya bana :) Nchi gani vile mlikuwa na Mr mkipandisha nondo halafu ukasema ilikuwa raha sana maana saa zote mpo wenyewe wenyewe tu hakuna bugudha za wajomba wala shangazi :) kule hakukuwa na beach ambayo NK aliwahi kwenda "kupunga upepo?"

BAK unadhani..... sijawahi kukanyaga kwenye beach hata moja kati ya hizo nilizo ziorodhesha. Nimegoogle tu mwaya ili kumsaidia The Boss. Lol. Maana ameonyesha yuko interested afu ku google hataki.
 
Kule ni public romance ambayo sioni kama ni mbaya. Yani ukiingia kwenye treni kila mtu kamkumbatia mwenzie mwanzo mpaka mwisho wa safari. Ila mostly vijana na newlywed. Wakishazaa watoto basi wanatembea kwa staili ya bata mmoja mbele mwingine nyuma.

Haya bana :) Nchi gani vile mlikuwa na Mr mkipandisha nondo halafu ukasema ilikuwa raha sana maana saa zote mpo wenyewe wenyewe tu hakuna bugudha za wajomba wala shangazi :) kule hakukuwa na beach ambayo NK aliwahi kwenda "kupunga upepo?"
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kule ni public romance ambayo sioni kama ni mbaya. Yani ukiingia kwenye treni kila mtu kamkumbatia mwenzie mwanzo mpaka mwisho wa safari. Ila mostly vijana na newlywed. Wakishazaa watoto basi wanatembea kwa staili ya bata mmoja mbele mwingine nyuma.

Ahsante NK, hapo kwenye bold lol!...kabla ya watoto kukumbatiana kwa sana :)
 
Sio hesabu, u2mie kanuni maalum na wala sio sheria ulazmike kuifwata...tena mazngra hayo yananoga zaid
nyie wachumbani kila leo shaur yenu
mi sahv natafta ya juu ya mti
 
dah hivi nikweli tumepotea hivi? tendo la ndowa nitendo muhim sana na linaheshima yake ukiona mtu halisamini anadiliki kufanya ovyo ovyo huyo kapotea na hajitambuwi kabisaaa na anahitaji maombezi.
We endelea na formality zako utakuja jutia. Ukipewa video ya informal utaipenda
 
ukiona hivya basi kashazoea kutembea na changu doa kwani wao hawapendi kwenda faragha watachelewa biashara. Huyo ni mzoefu wa changuzi hivyo na wewe kakuweka fungu hilo hilo. Mchunguze vizuri utabaini ukweli.
 
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hakuna kanuni zinazosema tendo la ndoa lifanyikie wapi...Ukisikia kiu unaikata accordingly! Katikati ya barabara, pembeni, car park etc etc...Hakuna raha kama kufanya mapenzi huku unapiga chabo usikamatwe....try it!
 
Raha ya kiu bana kuikata on the spot, we mdada vp! tena mabao ya juu kwa juu ya kushtukiza ucpime.
 
Back
Top Bottom