Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

Wadau wa MMU habari zenu!Leo naomba maoni yenu juu ya hili, ninalifikiria sana na sipati jibu!Hivi una mpenzi wako wa kiume, wote mna sehemu mnazoishi (yaani kila mmoja amepanga kwake) hivyo mngeweza kwenda nyumbani mkadunguana vema tu, mnaaminiana. Sasa mmetoka mkaenda sehemu kupata dinner na kupunga upepo. Mwanaume anaanza kukutomasa mara akuingizie vidole, anyonye matiti (hasa mkiwa maeneo ya beach nyakati za usiku) mkajiaminisha watu hawawaoni, pengine mnaishia kufanya mapenzi upenuni tu ama kwenye gari au pengine hata anapaki gari pembeni tu, anakuambia ushuke yeye anakuinamisha, anaku..... mnamaliza haja zenu.Swali langu hapa ni je hili ni jambo la kawaida kwa wapenzi kufanya mapenzi mahali popote tu wanapopata hamu? Wadau mnalichukuliaje? Msichana ukifanyiwa hivi na mvulana unajiona kama anakuheshimu kweli? Sababu ya kufanya hivi huwa ni nini hasa? Kwa nini wasiende chumbani? Kuna raha yoyote ya ziada inayosababisha wapende hivi?

umesahau JIKONI, OFISINI,BAFUNI NA KUISHIKISHWA MASINK YA CHOO...........! Hasa ukimfanyia mwanamke wa kuiba unalo! hakuachi daima!
 
inaonekana hujafundwa wewe umevunja ungo tu kama kondoo raha ya penzi popte hasa mazingira magumu.
 
Pazuri ni kwenye mbuga za wanyama!

Ila mi naongelea tendo la ndoa kwa wanandoa.

Kama ni ngono ukifanya mbugani lazima upate laana ya kugongwa na nyoka kwenye uume.
 
Kufanya mapenzi sehemu isiyo rasmi kuna utamu wake.................... Hebu jaribuni muone...........

Niliwahi kusoma mtandaoni dada mmoja akielezea jinsi anavyofurahia kunanihii kwenye sehemu ambazo hazina faragha kiasi ambacho inaleta ugomvi na mumewe. Njemba kila ikitaka kunanihii mama anasema twende kwenye park fulani, twende beach, tuzunguke na gari halafu nikiona sehemu inayofaa nitakwambia hapa ni poa kunanihii. Mkuu Mtambuzi inaonekana una uzoefu na hii shughuli....lakini wakati mwingine mkizidiwa basi kutafuta sehemu ya faragha inakuwa karaha :)

Last edited by a moderator:

Yeah.... nina uzoefu wa hali ya juu............... kula tende kwataka nafasi kaka!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyumbani Hakuna Amani, unajudai kweli? Umejuaje Kama Wewe hufanyi?

Wadau wa MMU habari zenu!Leo naomba maoni yenu juu ya hili, ninalifikiria sana na sipati jibu!Hivi una mpenzi wako wa kiume, wote mna sehemu mnazoishi (yaani kila mmoja amepanga kwake) hivyo mngeweza kwenda nyumbani mkadunguana vema tu, mnaaminiana. Sasa mmetoka mkaenda sehemu kupata dinner na kupunga upepo. Mwanaume anaanza kukutomasa mara akuingizie vidole, anyonye matiti (hasa mkiwa maeneo ya beach nyakati za usiku) mkajiaminisha watu hawawaoni, pengine mnaishia kufanya mapenzi upenuni tu ama kwenye gari au pengine hata anapaki gari pembeni tu, anakuambia ushuke yeye anakuinamisha, anaku..... mnamaliza haja zenu.Swali langu hapa ni je hili ni jambo la kawaida kwa wapenzi kufanya mapenzi mahali popote tu wanapopata hamu? Wadau mnalichukuliaje? Msichana ukifanyiwa hivi na mvulana unajiona kama anakuheshimu kweli? Sababu ya kufanya hivi huwa ni nini hasa? Kwa nini wasiende chumbani? Kuna raha yoyote ya ziada inayosababisha wapende hivi?
 
Wadau wa MMU habari zenu!Leo naomba maoni yenu juu ya hili, ninalifikiria sana na sipati jibu!Hivi una mpenzi wako wa kiume, wote mna sehemu mnazoishi (yaani kila mmoja amepanga kwake) hivyo mngeweza kwenda nyumbani mkadunguana vema tu, mnaaminiana. Sasa mmetoka mkaenda sehemu kupata dinner na kupunga upepo. Mwanaume anaanza kukutomasa mara akuingizie vidole, anyonye matiti (hasa mkiwa maeneo ya beach nyakati za usiku) mkajiaminisha watu hawawaoni, pengine mnaishia kufanya mapenzi upenuni tu ama kwenye gari au pengine hata anapaki gari pembeni tu, anakuambia ushuke yeye anakuinamisha, anaku..... mnamaliza haja zenu.Swali langu hapa ni je hili ni jambo la kawaida kwa wapenzi kufanya mapenzi mahali popote tu wanapopata hamu? Wadau mnalichukuliaje? Msichana ukifanyiwa hivi na mvulana unajiona kama anakuheshimu kweli? Sababu ya kufanya hivi huwa ni nini hasa? Kwa nini wasiende chumbani? Kuna raha yoyote ya ziada inayosababisha wapende hivi?

Kwenye mapenzi hakunaga heshima, ukileta heshima utamu unaisha.

Aaah.. Labda mie niko tofauti kabisa.. Kwangu lile tendo linahitaji faragha..Habari za kuambiwa nishuke kwenye gari niinamishwe kwa kweli SITAKI na Siwezi kukubali hata iweje!
Labda huyo msichana aliwahi kuwaga changu. Manake ndiyo zao hizo.
 
Tamu sana hiyo kitu ukifanya sehemu za hatari,kwenye lift,kwenye gari,beach nk.aaaaaah!!!!msinikumbushe ule utamu maana raha iliyopo mimi napenda na mume wangu nae ndio usiseme,na huwa nakumbuka kusali pia
 
Back
Top Bottom