Kufa ni kufanya nini?

nani alikuwa na hakika kuwa yule mtoto alikufa. je kuna mtu aliyempima kusema kweli kafa? sio usanii wa wahubiri

Very good question, signs za mtu kufa nimezieleza hapo kwenye posts zangu, after all watu zaidi ya laki tano including medical doctors hatuwezi kushindwa kujua kama mtu amekufa au la, tena for seven days.

Halafu mbona unaona ajabu sana mtu kufufuka, kama Yesu ameagiza wafuasi wake wafufue wafu basi hakuna wa kupinga, watafufuka tu. Na nimeshakupa shule awali kuwa mtu ni roho, ukimuagiza arudi kwenye mwili wake mashetani waliomshikilia wanapigwa na radi toka mbinguni wanamuachia na anarudi kwenye mwili wake, halafu wanadamu mnasema amefufuka, kumbe mpangaji amerudi kwenye nyumba yake ambayo ni mwili wake. Ni maarifa tu dadaangu, tunaangamia kwa kuyakosa haya maarifa.
 
Naomba kuelimishwa juu ya hiki kitu kufa.

Tukisema mtu kafa kinachokufa ni nini? Je, kutopumua ni kufa? Brain kutofanya kazi ni kufa? Mapigo ya moyo yakiacha kufanya kazi ndio kufa au roho kutoka ndio kufa?

Napata shida mno nisaidieni maana naanza kuhisi watu wanaweza kuwa wanazikwa wazima.

Watu wanaweza kuzikwa wazima. Imetokea watu wanazinduka katika chumba cha maiti.

There are TWO types of death. There is the deatrh of the body and the death of the soul. The body dies when the organs break down. I think the brain is the first organ to die.

Halafu there is the death of the soul,mtu anapotenda dhambi kubwa. In the death of the soul,the person continues to live and breathe. Lakini anaishi to no purpose,ndio watu wanaosema kwa nini maisha yao hayafanikiwi.

Lakini strictly speaking, in occult terms, kufa ni wakati the silver cord which connects the astral body to the physical body, thins and snaps.
Halafu the astral body floats off to another world, halafu a person goes to the Hall of Memories to look at the life he has just lived, to see what he did wrong or what he did right, and then there is a rest in astral world,and usually one is reborn again in another body.

Just this;death-the Hall of Memories-and rebirth.
 
Very good question, signs za mtu kufa nimezieleza hapo kwenye posts zangu, after all watu zaidi ya laki tano including medical doctors hatuwezi kushindwa kujua kama mtu amekufa au la, tena for seven days.

Halafu mbona unaona ajabu sana mtu kufufuka, kama Yesu ameagiza wafuasi wake wafufue wafu basi hakuna wa kupinga, watafufuka tu. Na nimeshakupa shule awali kuwa mtu ni roho, ukimuagiza arudi kwenye mwili wake mashetani waliomshikilia wanapigwa na radi toka mbinguni wanamuachia na anarudi kwenye mwili wake, halafu wanadamu mnasema amefufuka, kumbe mpangaji amerudi kwenye nyumba yake ambayo ni mwili wake. Ni maarifa tu dadaangu, tunaangamia kwa kuyakosa haya maarifa.

hapana sikuuliza kwa kushangaa ila niliuliza kupata uhakika kuwa alipimwa, si unajua kuwa kuna kesi kama hizo makanisani kuwa watu walikufa wamefufuliwa kumbe hawakuwa wamekufa kabisa bali walilipwa kufanya hivyo.

Naamini katika yesu kufufua watu isipokuwa kwa ulimwengu wa sasa uliojaa usanii nachelea kusema sio kila kitu cha ndani ya makanisa cha kuamini. but kama wewe ulikuwapo na umejiridhisha kuwa kweli amekufa basi ni jambo jema maana wapo wachamungu wa kweli wawezao kufanya hivyo japo ni wachache pia.
 
Watu wanaweza kuzikwa wazima. Imetokea watu wanazinduka katika chumba cha maiti.
There are TWO types of death. There is the deatrh of the body and the death of the soul.
The body dies when the organs break down. I think the brain is the first organ to die.
Halafu there is the death of the soul,mtu anapotenda dhambi kubwa. In the
death of the soul,the person continues to live and breathe. Lakini anaishi to no purpose,ndio watu wanaosema kwa nini maisha yao hayafanikiwi.
Lakini strictly speaking,in occult terms,kufa ni wakati the silver cord which connects the
astral body to the physical body,thins and snaps.
Halafu the astral body floats off to another world,halafu a person goes to the Hall of Memories to look at the life he has just lived,to see what he did wrong or what he did right,and then there is a rest in
astral world,and usually one is reborn again in another body.Just this;death-the Hall of Memories-and rebirth.

mkuu,
nashukuru ila umenichanganya kidogo unaweza kunielezea zaidi katika hizo nilizo weka red?
 
Kufa ni process Kwanza kabisa moyo unaposimama bila mafanikio ya kuurudisha kufanya kazi tena, apo mtu anakuwa amekufa, process inayofuatwa ni tissue zingine kufa, the first tissue kufa au kuacha kufanya kazi ni brain, alafu zikifuatiwa na tissue nyingine.
 
This is a difficult question more than we think it is. You may visit this lectures on death and see if you can learn something about death.

Death - Yale university

Its philosophical arguments.

Kuna maswali mengi sana amejaribu kujibu

1. Who are we?
2. Is death good or bad?
3. Would it be better if we could live forever?
4. When is suicide a good thing?
...
 
ni kweli lina ugumu wake na sio kulichukulia lightly kama wengine wafanyavyo.sasa wengine kufungua ni kazi tupe kwa kifupi amesemaje humo katika hiyo link. halafu tuidiscuss
 
This is a difficult question more than we think it is. You may visit this lectures on death and see if you can learn something about death.

Death - Yale university

Its philosophical arguments.

Kuna maswali mengi sana amejaribu kujibu

1. Who are we?
2. Is death good or bad?
3. Would it be better if we could live forever?
4. When is suicide a good thing?
...

nafikiri hapo katika red ingekuwa vizuri kama tu hatuzeeki wala hatusumbuliwi na magonjwa. na hatuongezeki lakini kama tunaongozeka na tunaumwa na tunazeeka ni bura kufa tukapumzika kuliko kuendelea kuleta shida duniani.

kufa ni kuzuri au kubaya kwa vile hatujui how it feels when person is dying then we can not tell.
 
na pia kufa hatuwezi sema ni kuzuri au kubaya kabla hatujajua ukishakuwa umekufa nini kinatokea.
kwa hiyo process yenyewe na after hiyo action ni maswali ambayo yakiwa na majibu yasiyokuwa na doubt hapo tunaweza kuwa jasiri kusema kifo ni kizuri au kibaya.
 
nafikiri hapo katika red ingekuwa vizuri kama tu hatuzeeki wala hatusumbuliwi na magonjwa. na hatuongezeki lakini kama tunaongozeka na tunaumwa na tunazeeka ni bura kufa tukapumzika kuliko kuendelea kuleta shida duniani.

kufa ni kuzuri au kubaya kwa vile hatujui how it feels when person is dying then we can not tell.

Huyu prof anaamini binadamu ni mwili tu na sio mwili na roho i.e a person is just a body that can do certain functions such as running, thinking, talking etc. Na hamna kitu kama roho, kwa sababu hakuna ushahidi kuwa kuna roho, there is no compelling evidence that souls exists. Kwa hiyo kufa is just a bilogical process where by a body can no longer perform certaing functions that a person who is alive performs. When someone stops breathing and the blood is not supplied to the brain, then the brains dies and you are gone.

Kitu kikubwa anachoongelea yeye ni umuhimu wa kifo. Na ndio mimi binafsi naona ni jambo la maana zaidi, kwa sababu moja kati ya mambo ambayo watu wanatumia sana ku-manipulate wenzao ni kifo hasa hasa the existence of after life and the eternal joy in paradise, eternal suffering in hell. Naamini haya ndio ya muhimu zaidi.

Please tafuta hizi videos, they will change you perspective towards life, death and the things that may or may not happen after wards.
 
mkuu,
nashukuru ila umenichanganya kidogo unaweza kunielezea zaidi katika hizo nilizo weka red?

Binadamu akitenda dhambi anaidhuru roho yake. Ndivyo mwili unavyokuwa hai lakini roho imekufa.

Imagine that you are sitting in a completely dark room at the top of a skyscraper; before you there is a large picture window covered by a black blind, a blind which has no pattern, nothing which could prove a distraction. Concentrate on that blind. First of all make sure that there are no thoughts crossing your consciousness (which is that black blind), and if thoughts do tend to intrude, push them back over the edge.

You can do so, it is merely a matter of practice. For some moments thoughts will try to flicker at the edge of that black blind, push them back, forcibly will them to go, then concentrate on the blind again, will yourself to lift it[WILL YOURSELF TO LIFT IT] so that you may look out at all that is beyond.
 
Na sasa yanafuatia maelezo ya astral body na astral world.

In the last lesson we dealt in the concluding stages with thought. We said "thought is where you want it to be." That is a formula which really can assist us to get out of the body, to do astral travelling. Let us repeat it.

Thought is where you want it to be. Outside of you, if you want it so. Let us have a little practice. Here again, you will need to be where you are quite alone, where there are no distractions. You are going to try to get yourself out of your body. You must be alone, you must be relaxed, and we suggest that for ease you lie down, preferably upon a bed. Make sure that no one can intrude and ruin your experiment. When you are settled, breathing slowly, thinking of this experiment, concentrate on a point six feet in front of you, close your eyes, concentrate, WILL yourself to think that you - the real you, the astral you - watches your body from some six feet away. Think! Practice! Make yourself concentrate. Then, with practice, you will suddenly experience a slight, almost electric shock, and you will see your body lying with eyes closed some six feet away.

At first it will be quite an effort to achieve this result. You may feel as if you are inside a big rubber balloon, pushing, pushing. You push and push and strain, and nothing seems to happen. It almost seems to happen. Then at last, suddenly, you burst through, and there is a slight snapping sensation almost as, in fact, puncturing a child's toy balloon. Do not be alarmed, do not give way to fright, because if you remain free from fright you will go on and on, and not have any trouble whatever in the future, but if you are afraid you will bounce back into the physical body and will then have to start all over again at some other date. If you bounce back into your body there is no point in trying anything more that day for you will rarely succeed.

You will need sleep - rest - first. Let us go further, let us imagine that you have got out of your body with this simple easy method, let us imagine that you are standing there looking at your physical component and wondering what to do next. Do not bother to look at your physical body for the moment, you will see it again quite often! Instead try this: -

Let yourself float about the room like a lazily drifting soap bubble, for you do not even weigh as much as a soap bubble now! You cannot fall, you cannot hurt yourself. Let your physical body rest at ease. You will, of course, have dealt with that before freeing your astral from this fleshly sheath. You will have made sure that your flesh-body was quite at ease.

Unless you took this precaution you may find when you return to it that you have a stiff arm or a cricked neck. Be certain that there are no rough edges that would press into a nerve, for if, for example, you have left your physical body so that an arm is extended over the edge of the mattress there may be some pressure upon a nerve which will cause you "pins and needles" later. Once again, then, make sure that your body is absolutely at ease before making any attempt to leave it for the astral body.

Now let yourself drift, let yourself float about the room, idly move round as if you were a soap bubble drifting on vagrant air currents. Explore the ceiling and the places where you could not normally see. Become accustomed to this elementary astral travel because until you are accustomed to idling about in a room you cannot safely venture outside.

Let us try it again with somewhat different wording. Actually, this astral travel affair is easy, there is nothing to it so long as you allow yourself to believe that you can do it. Under no circumstances, under no conditions should you feel fear, for this is not a place for fear, in astral travel you are journeying to freedom. It is only when back in the body that you need to feel imprisoned, encased in clay, weighted down by a heavy body which does not respond very well to spiritual commands. No, there is no place for fear in astral travel, fear is quite alien to it.

We are going to repeat astral travel directions under slightly different wording. You are lying fiat on your back on a bed. You have made sure that every part of you is comfortable, there are no projections sticking into nerves, your legs are not even crossed, because if they were, at the point where they cross you might have a numbness after just because you will have interfered with the circulation of the blood.

Rest calmly, contentedly, there are no disturbing influences, nor are you worried. Think only of getting your astral body out of your physical body.

Relax and relax yet more. Imagine a ghostly shape corresponding roughly to your physical body, gently disengaging from the flesh body and floating upwards like a puffball on a light summer's breeze. Let it rise up, keep your eyes closed otherwise, for the first two or three times, you may be so startled that you will twitch, and that twitch may be violent enough to "reel in" the astral to its normal place within the body.

People frequently jerk in a peculiar manner just when they are falling asleep. All too often it is so violent that it brings one back to full wakefulness. This jerk is caused by a too rough separation of the astral body and the physical body, for, as we have already stated, nearly everyone does astral travelling by night even if so many people do not consciously remember their journeying. But back to our astral body again.

Think of your astral body gradually, easily separating from the physical body, and drifting upwards to about three, or perhaps four feet above the physical. There it rests above you swaying gently.

You may have experienced a sensation of swaying just when you are falling asleep; that was the astral swaying. As we have said, the body is floating above you, possibly swaying a little, and connected to you by the Silver Cord which goes from your umbilicus to the umbilicus of the astral body (Fig. 8)

Fig. 8: Leaving the body, Do not look too closely because we have already warned you that if you become startled and twitch you will bring your body back and have to start all over again on some other occasion. Suppose you heed our warning, and do not twitch, then your astral body will remain floating above for some moments, take no action at all, hardly think, breathe shallowly for this is your first time out, remember, your first time CONSCIOUSLY out, and you have to be careful.

If you are not afraid, if you do not twitch, the astral body will slowly float off, it will just drift away to the end or the side of the bed where quite gently, without any shock whatsoever, it will gradually sink so that the feet touch, or almost touch the floor. Then, the process of making "a soft landing" over, your astral will be able to look at your physical and relay back what it sees.

You will have a quite discomforting sensation of looking at your own physical body and we point out now that it is often a humiliating experience. Many of us have a completely erroneous idea of what we look like. Do you remember when you first heard your voice? Have you heard your voice on a tape recorder? For the first time you may have frankly disbelieved that it was your voice, you may have thought that someone was playing a trick on you, or that the recorder was faulty.

The first time one hears one's voice, one disbelieves it, one becomes appalled and mortified. But wait until you see your body for the first time! You will stand there in your astral body with your consciousness quite fully transferred to your astral body, and you will look down upon that reclining physical body. You will be horrified; you will not like the shape of the body nor the complexion, you will be shocked at the lines on the face and by the features, and if you advance a little further and look into your mind you will see certain little quirks and phobias which may even cause you to jump back into the body out of sheer fright!

But supposing you surmount this first frightening meeting with yourself, what then? You must decide where you are going, what you want to do, what you want to see. The easiest system is to visit some person with whom you are well acquainted, perhaps a close relative who lives in a neighboring city.

First it should always be a person that you frequently visit because you have to visualize the person in considerable detail, you have to visualize where he or she lives and precisely how to get there. Remember this is new to you - new to you doing it consciously, that is - and you want to follow the exact route which you would follow if you were going in the flesh.

Leave your room, move to the street (in the astral, of course, but do not worry, people cannot see you), traverse the path which you would normally take keeping fixed before you the image of the person whom you want to visit and how to get there. Then, very very speedily, far more quickly than the fastest car could take you, you will be at your friend's or relative's house.

With practice you will be able to go anywhere, seas, oceans and mountains will be no bar, no obstacle, to your path. The lands of the world and the cities of the world will be yours to visit.

Some people think "Oh! Supposing I go and I cannot get back. What then?" The answer is - you cannot get lost. It is quite impossible to get lost, it is quite impossible to harm yourself or to find that your body has been taken over. If anyone comes near to your body while you are astral travelling the body relays a warning and you are "reeled in" with the speed of thought. No harm can come to you, the only harm is fear. So do not fear, but experiment, and with experiment will come a realization of all your hopes, all your ambitions in the realms of astral travel.

When you are in the astral stage consciously you will see colours more brilliantly than you do in the flesh. Everything will shimmer with life you may even see particles of "life" about you like sparks. That is the vitality of the earth, and as you pass through it you will pick up strength and courage.

A difficulty is this; You cannot take anything with you, you cannot bring anything back! It is, of course, possible under some conditions - and this comes with much practice only - that you materialize in front of a clairvoyant, but it is not easy to go to a person and carry out a diagnosis of their health condition because you really need to be able to discuss things like that. You can go to a shop and look over their stock and decide what you want to go and buy the next day, that is quite permissible.

Often when you visit a shop in the astral you will see the flaws and the shoddiness of some of the goods which are high priced! When you are in the astral and you want to return to the physical, you should keep calm, you should let yourself think of the flesh body, think that you are going to go back and that you are going to get in.

As you think this there will be a blur of speed, or there may even be an instantaneous shift from wherever you were to a spot three or four feet above your reclining body. You will find that you are there, drifting, undulating slightly, just as when you left the body. Let yourself sink down very, very slowly, it must be slowly because the two bodies have to be absolutely synchronized.

If you do it right you will sink into the body without a jar, without any tremor, without any sensation other than that the body is a cold and heavy mass.

If you should be clumsy and you should not exactly align your two bodies, or if someone should interrupt you so that you go back with a jerk, you may find that you have some headache, some almost migraine type of headache. In that case you have to try to get yourself to sleep, or force yourself out into the astral again, because until your two bodies are back in exact alignment you cannot get rid of the headache.

It is nothing to worry about because a quite definite cure is to go to sleep, even for a few moments, or consciously to get out into the astral again.

You may find that back in your flesh-body you are stiff. You may find that the sensation is much the same as putting on a suit of clothes which got wet the day before and now is still wet and dank. Until you get used to it it is not altogether a happy sensation coming back to the body, you will find that the glorious colours which you saw in the astral world have dimmed.

Many of the colours you will not see at all in the flesh, many of the sounds that you heard in the astral are quite inaudible when in the fleshly body. But never mind, you are upon Earth to learn something, and when you have learned that which was your purpose in coming to Earth you will be free of the ties, free of the bonds of Earth, and when you leave your fleshly body permanently, with the Silver Cord severed, you go to realms far above that of the astral world.

Practice this astral travelling, practice it and practice it. Keep away all fear, for if you have no fear, then there is nothing to fear, no harm can come to you, only pleasure.
 
Very good question, signs za mtu kufa nimezieleza hapo kwenye posts zangu, after all watu zaidi ya laki tano including medical doctors hatuwezi kushindwa kujua kama mtu amekufa au la, tena for seven days.

Halafu mbona unaona ajabu sana mtu kufufuka, kama Yesu ameagiza wafuasi wake wafufue wafu basi hakuna wa kupinga, watafufuka tu. Na nimeshakupa shule awali kuwa mtu ni roho, ukimuagiza arudi kwenye mwili wake mashetani waliomshikilia wanapigwa na radi toka mbinguni wanamuachia na anarudi kwenye mwili wake, halafu wanadamu mnasema amefufuka, kumbe mpangaji amerudi kwenye nyumba yake ambayo ni mwili wake. Ni maarifa tu dadaangu, tunaangamia kwa kuyakosa haya maarifa.

............aiseeeh ! haya maarifa unayapata wapi ? una nukuu yeyote ya Yesu kutoa maelekezo ya kufufua !
 
OK, ngoja niwape kisa ambacho nimekishuhudia Jumapili hii ya tarehe 9/9/12. Akina mama wawili walikuja church na mwili wa mtoto wa miaka kama 12 hivi, walikuwa wamemzungushia kanga na kumlaza kwenye kiti. Hakuna mtu aluyejua kulikuwa na nini kwenye nguo alizofunikwa nazo.

Pastor akaanza kufundisha na kuhubiri. Katika kuzunguka kwa audience huku akihubiri akaona huo mzigo lakini hakujua ni nini, akadhani kuna mtu kaleta mzigo na ameoccupy viti vingine. Akapita mara ya pili na kuuliza ni nini hicho. Akina mama wakasema ni mtoto wao (mmoja wao ni mwalimu wake shuleni). Pastor akawauliza kulikoni? Wakasema ni mtoto amefariki 7 days ago!!! Alikuwa shuleni anafanya assignment, ghafla akadondoka akafa.

Pastor akaomba watu wachukue ile maiti na kuipeleka madhabahuni, mahubiri yakasimama kwanza na kanisa zima tukaanza kuomba na kumuita yule mtoto arudi kwenye mwili wake KWA JINA LA YESU.

It took about 10 minutes yule mtoto akainuka, akafanyishwa mazoezi kidogo, then akaletewa chakula akala. Hiki ni kisa cha kweli ambacho nimekishuhudia mwenyewe, hapa hapa DSM.

Hata hivyo ni jambo linalotegemewa mahali ambapo watu wanamuabudu Mungu wa kweli, Yesu alisema (Math 10:8) Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received...

...............huyo Pastor anayefufua na yeye akifa itakuwaje ? halafu huyo mtoto akifa mara ya pili ? Muujiza ni mtu kugoma kufa, .............baaaassssssss !
 
Huyu prof anaamini binadamu ni mwili tu na sio mwili na roho i.e a person is just a body that can do certain functions such as running, thinking, talking etc. Na hamna kitu kama roho, kwa sababu hakuna ushahidi kuwa kuna roho, there is no compelling evidence that souls exists. Kwa hiyo kufa is just a bilogical process where by a body can no longer perform certaing functions that a person who is alive performs. When someone stops breathing and the blood is not supplied to the brain, then the brains dies and you are gone.

Kitu kikubwa anachoongelea yeye ni umuhimu wa kifo. Na ndio mimi binafsi naona ni jambo la maana zaidi, kwa sababu moja kati ya mambo ambayo watu wanatumia sana ku-manipulate wenzao ni kifo hasa hasa the existence of after life and the eternal joy in paradise, eternal suffering in hell. Naamini haya ndio ya muhimu zaidi.

Please tafuta hizi videos, they will change you perspective towards life, death and the things that may or may not happen after wards.

kwa hiyo huyo prof yeye adai kuwa kuna only body and mind but no soul to him MTU NI BODY AND MIND only? na sasa kama hivyo ndivyo kwa nini watu husema mwili wa fulani kama mwili huo ndio fulani mwenyewe?

I gues huyu pia anapingana na another school of thoughts zinazoeleza body, mind and soul that they do exist togerther they make a person.
na yeye anasema kuwa hawezi kuthibitisha kuwa soul exists je anawezaje kuthibitisha kuwa mind does exist?

Sijui wewe unasemaje tukimwacha huyu jamaa
 
Na sasa yanafuatia maelezo ya astral body na astral world.
In the last lesson we dealt in the concluding stages with thought. We said "thought is where you want it to be." That is a formula which really can assist us to get out of the body, to do astral travelling. Let us repeat it.
Thought is where you want it to be. Outside of you, if you want it so. Let us have a little practice. Here again, you will need to be where you are quite alone, where there are no distractions. You are going to try to get yourself out of your body. You must be alone, you must be relaxed, and we suggest that for ease you lie down, preferably upon a bed. Make sure that no one can intrude and ruin your experiment. When you are settled, breathing slowly, thinking of this experiment, concentrate on a point six feet in front of you, close your eyes, concentrate,WILL yourself to think that you - the real you, the astral you - watches your body from some six feet away. Think! Practice! Make yourself concentrate. Then, with practice, you will suddenly experience a slight, almost electric shock, and you will see your body lying with eyes closed some six feet away.
At first it will be quite an effort to achieve this result. You may feel as if you are inside a big rubber balloon, pushing, pushing. You push and push and strain, and nothing seems to happen. It almost seems to happen. Then at last, suddenly, you burst through, and there is a slight snapping sensation almost as, in fact, puncturing a child's toy balloon. Do not be alarmed, do not give way to fright, because if you remain free from fright you will go on and on, and not have any trouble whatever in the future, but if you are afraid you will bounce back into the physical body and will then have to start all over again at some other date. If you bounce back into your body there is no point in trying anything more that day for you will rarely succeed. You will need sleep - rest - first.
Let us go further, let us imagine that you have got out of your body with this simple easy method, let us imagine that you are standing there looking at your physical component and wondering what to do next. Do not bother to look at your physical body for the moment, you will see it again quite often! Instead try this: -
Let yourself float about the room like a lazily drifting soap bubble, for you do not even weigh as much as a soap bubble now! You cannot fall, you cannot hurt yourself. Let your physical body rest at ease. You will, of course, have dealt with that before freeing your astral from this fleshly sheath. You will have made sure that your flesh-body was quite at ease. Unless you took this precaution you may find when you return to it that you have a stiff arm or a cricked neck. Be certain that there are no rough edges that would press into a nerve, for if, for example, you have left your physical body so that an arm is extended over the edge of the mattress there may be some pressure upon a nerve which will cause you "pins and needles" later. Once again, then, make sure that your body is absolutely at ease before making any attempt to leave it for the astral body.
Now let yourself drift, let yourself float about the room, idly move round as if you were a soap bubble drifting on vagrant air currents. Explore the ceiling and the places where you could not normally see. Become accustomed to this elementary astral travel because until you are accustomed to idling about in a room you cannot safely venture outside.
Let us try it again with somewhat different wording. Actually, this astral travel affair is easy, there is nothing to it so long as you allow yourself to believe that you can do it. Under no circumstances, under no conditions should you feel fear, for this is not a place for fear, in astral travel you are journeying to freedom. It is only when back in the body that you need to feel imprisoned, encased in clay, weighted down by a heavy body which does not respond very well to spiritual commands. No, there is no place for fear in astral travel, fear is quite alien to it.
We are going to repeat astral travel directions under slightly different wording. You are lying fiat on your back on a bed. You have made sure that every part of you is comfortable, there are no projections sticking into nerves, your legs are not even crossed, because if they were, at the point where they cross you might have a numbness after just because you will have interfered with the circulation of the blood. Rest calmly, contentedly, there are no disturbing influences, nor are you worried. Think only of getting your astral body out of your physical body.
Relax and relax yet more. Imagine a ghostly shape corresponding roughly to your physical body, gently disengaging from the flesh body and floating upwards like a puffball on a light summer's breeze. Let it rise up, keep your eyes closed otherwise, for the first two or three times, you may be so startled that you will twitch, and that twitch may be violent enough to "reel in" the astral to its normal place within the body.
People frequently jerk in a peculiar manner just when they are falling asleep. All too often it is so violent that it brings one back to full wakefulness. This jerk is caused by a too rough separation of the astral body and the physical body, for, as we have already stated, nearly everyone does astral travelling by night even if so many people do not consciously remember their journeying. But back to our astral body again.
Think of your astral body gradually, easily separating from the physical body, and drifting upwards to about three, or perhaps four feet above the physical. There it rests above you swaying gently. You may have experienced a sensation of swaying just when you are falling asleep; that was the astral swaying. As we have said, the body is floating above you, possibly swaying a little, and connected to you by the Silver Cord which goes from your umbilicus to the umbilicus of the astral body (Fig. 8).

Fig. 8: Leaving the body

Do not look too closely because we have already warned you that if you become startled and twitch you will bring your body back and have to start all over again on some other occasion. Suppose you heed our warning, and do not twitch, then your astral body will remain floating above for some moments, take no action at all, hardly think, breathe shallowly for this is your first time out, remember, your first time CONSCIOUSLY out, and you have to be careful.
If you are not afraid, if you do not twitch, the astral body will slowly float off, it will just drift away to the end or the side of the bed where quite gently, without any shock whatsoever, it will gradually sink so that the feet touch, or almost touch the floor. Then, the process of making "a soft landing" over, your astral will be able to look at your physical and relay back what it sees.
You will have a quite discomforting sensation of looking at your own physical body and we point out now that it is often a humiliating experience. Many of us have a completely erroneous idea of what we look like. Do you remember when you first heard your voice? Have you heard your voice on a tape recorder? For the first time you may have frankly disbelieved that it was your voice, you may have thought that someone was playing a trick on you, or that the recorder was faulty.
The first time one hears one's voice, one disbelieves it, one becomes appalled and mortified. But wait until you see your body for the first time! You will stand there in your astral body with your consciousness quite fully transferred to your astral body, and you will look down upon that reclining physical body. You will be horrified; you will not like the shape of the body nor the complexion, you will be shocked at the lines on the face and by the features, and if you advance a little further and look into your mind you will see certain little quirks and phobias which may even cause you to jump back into the body out of sheer fright! But supposing you surmount this first frightening meeting with yourself, what then?You must decide where you are going, what you want to do, what you want to see. The easiest system is to visit some person with whom you are well acquainted, perhaps a close relative who lives in a neighboring city. First it should always be a person that you frequently visit because you have to visualize the person in considerable detail, you have to visualize where he or she lives and precisely how to get there. Remember this is new to you - new to you doing it consciously, that is - and you want to follow the exact route which you would follow if you were going in the flesh.
Leave your room, move to the street (in the astral, of course, but do not worry, people cannot see you), traverse the path which you would normally take keeping fixed before you the image of the person whom you want to visit and how to get there. Then, very very speedily, far more quickly than the fastest car could take you, you will be at your friend's or relative's house.
With practice you will be able to go anywhere, seas, oceans and mountains will be no bar, no obstacle, to your path. The lands of the world and the cities of the world will be yours to visit.
Some people think "Oh! Supposing I go and I cannot get back. What then?" The answer is - you cannot get lost. It is quite impossible to get lost, it is quite impossible to harm yourself or to find that your body has been taken over. If anyone comes near to your body while you are astral travelling the body relays a warning and you are "reeled in" with the speed of thought. No harm can come to you, the only harm is fear. So do not fear, but experiment, and with experiment will come a realization of all your hopes, all your ambitions in the realms of astral travel.
When you are in the astral stage consciously you will see colours more brilliantly than you do in the flesh. Everything will shimmer with life you may even see particles of "life" about you like sparks. That is the vitality of the earth, and as you pass through it you will pick up strength and courage.
A difficulty is this; You cannot take anything with you, you cannot bring anything back! It is, of course, possible under some conditions - and this comes with much practice only - that you materialize in front of a clairvoyant, but it is not easy to go to a person and carry out a diagnosis of their health condition because you really need to be able to discuss things like that. You can go to a shop and look over their stock and decide what you want to go and buy the next day, that is quite permissible. Often when you visit a shop in the astral you will see the flaws and the shoddiness of some of the goods which are high priced! When you are in the astral and you want to return to the physical, you should keep calm, you should let yourself think of the flesh body, think that you are going to go back and that you are going to get in. As you think this there will be a blur of speed, or there may even be an instantaneous shift from wherever you were to a spot three or four feet above your reclining body. You will find that you are there, drifting, undulating slightly, just as when you left the body. Let yourself sink down very, very slowly, it must be slowly because the two bodies have to be absolutely synchronized.
If you do it right you will sink into the body without a jar, without any tremor, without any sensation other than that the body is a cold and heavy mass.
If you should be clumsy and you should not exactly align your two bodies, or if someone should interrupt you so that you go back with a jerk, you may find that you have some headache, some almost migraine type of headache. In that case you have to try to get yourself to sleep, or force yourself out into the astral again, because until your two bodies are back in exact alignment you cannot get rid of the headache. It is nothing to worry about because a quite definite cure is to go to sleep, even for a few moments, or consciously to get out into the astral again.
You may find that back in your flesh-body you are stiff. You may find that the sensation is much the same as putting on a suit of clothes which got wet the day before and now is still wet and dank. Until you get used to it it is not altogether a happy sensation coming back to the body, you will find that the glorious colours which you saw in the astral world have dimmed. Many of the colours you will not see at all in the flesh, many of the sounds that you heard in the astral are quite inaudible when in the fleshly body. But never mind, you are upon Earth to learn something, and when you have learned that which was your purpose in coming to Earth you will be free of the ties, free of the bonds of Earth, and when you leave your fleshly body permanently, with the Silver Cord severed, you go to realms far above that of the astral world.
Practice this astral travelling, practice it and practice it. Keep away all fear, for if you have no fear, then there is nothing to fear, no harm can come to you, only pleasure.

kuna kitabu kimoja nilishawahi kusoma kinaeleza kuwafanya hii kitu unayoizungumza kinaitwa red planet and preparation on how to survive end of the world, maditation ya aina hii unayoizungumza ndio walikuwa wanasisitiza sana mantra something, wanadai you can live without body but only mind some where in the world or outside the this world.

Lakini yote haya yanawezekana au hadithi za mzungu? wewe umeshawahi kufanya haya mapractice ya kuuacha mwili na kuwa katika huo ulimwengu mwingine.
 
Huyu prof anaamini binadamu ni mwili tu na sio mwili na roho i.e a person is just a body that can do certain functions such as running, thinking, talking etc. Na hamna kitu kama roho, kwa sababu hakuna ushahidi kuwa kuna roho, there is no compelling evidence that souls exists. Kwa hiyo kufa is just a bilogical process where by a body can no longer perform certaing functions that a person who is alive performs. When someone stops breathing and the blood is not supplied to the brain, then the brains dies and you are gone.

Kitu kikubwa anachoongelea yeye ni umuhimu wa kifo. Na ndio mimi binafsi naona ni jambo la maana zaidi, kwa sababu moja kati ya mambo ambayo watu wanatumia sana ku-manipulate wenzao ni kifo hasa hasa the existence of after life and the eternal joy in paradise, eternal suffering in hell. Naamini haya ndio ya muhimu zaidi.

Please tafuta hizi videos, they will change you perspective towards life, death and the things that may or may not happen after wards.

nitapataje hizi videos zaidi ya you tube, siwezi kuzipata kabisa kabisa kwa nunua, assist please
 
life after death ni kitu pia ambacho hakijawahi kuthibitishwa, ila kama kuna mizimu na uwanga na uchawi je hii haiwezi kutuambia lolote kuwa kuna maisha baada ya kufa?
 
Back
Top Bottom