kufa kwa imamu/mchungaji sio mwisho wa ibada

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Kama kungekuwa anapokufa mtu basi na ibada inakufa basi waumini wengi wangeama dini zao
Pengine umekutana na matatizo mengi ya maisha na wengine mmefiwa na wapenzi wenu
Leo naomba muwe na imani pamoja na kufiwa na wapenzi wenu bado Mungu anawapenda na anawajali
na si hilo tu hata kama mwenzio ameondoka kuelekea kwa bwana basi kuna Mwingine ameandaliwa kwa ajili
yako ...sisemi ukimbilie kukamata wa fasta bali uwe na subira...ukisoma kitabu cha yakobo
Mjane mpaka utakapofika miaka 60 na wengine tumeona zaidi ya 60 wanaolewa ama kuoa so jipe moyo
najua mmekuwa na mawazo mbali mbali kwamba mwenzako yuko wapi na pengine alikuwa na msaada
ambao leo hii uupati tena kama ulivyokuwa mwanzoni jipe moyo ndugu yangu Yesu anakupenda na anajua haja ya moyo
wako

Si hivyo tu kuna wanaoishi kwenye ndoa zao ama mahusiano lakini maisha wanayoishi ni zaiidi ya wajane
Na wewe pia jipe moyo huyo ndie alieandikwa kwako ...usikate tamaa muangalie Mungu anaweza na anakupenda
la zaidi usikimbilie kukimbilia milupo ya nje la hasha fight for your destiny....ipo siku Mungu atamfungua na mtaishi maisha ya upendo
na amani zaidi ya hao wanaokucheka

Mwombe Mungu akupe ufahamu kilichofanyika ni shetani kukamata ufahamu wenu mmoja kumwekea hasira na mwingine
kumweke roho ya kushindwa kuvumiliana matokeo yake mmeanza kunyimana unyumba mkihisi ni swala ya kumaliza matatizo
yenu huyo ni shetani na wala sio weewee ..dawa ni kumwomba Mungu awape ufahamu kwenye ndoa zenu...ndoa si lelelmama
aijalishi ulikunywa ukasaza diamond jubilee shetani anapokukamata kama ujawa strong ni vigumu ndio maana nenda kaangalie
ndoa za wakurugenzi wa makampuni makubwa ya nchi hii na hata mawaziri ni aibu kubwa mbele za Mungu ...kuna wamama wanaendesha
mabenzi makubwa wake za mawaziri leo hii wanashibana na vingast watoto wa shule sio kwamba wanapenda bali ibilisi amewapitia
na sasa anaona mumewe ni kama Alshabab wa somalia..ile nanii yake aliokuwa akiila kama koni leo anaona sumu ya panya

Mungu awawezeshe kuishi maisha ya amani na upendo aijalishi umeachwa umeachika ...na wewe ulie mjane Mungu anakupenda soon
usikate tamaa yupo mwingine kwa ajili yako soma baibo utaona ...Mungu awezi kukuacha hata maramoja anakupenda na wewe juhudi
zako kumtumikia ili upate yale yalioandikwa

"IKAZE IWACU"""
 
ubarikiwe sana kwa kuleta maneno haya ya faraja na maombi kwa wenye kulemewa na mizigo.
 
Hilo neno jekundu lamaanisha nini? Siku za mwisho ibilisi atajiingiza hadi makanisani.
tafasiri kwanza hiko neno.
 
Back
Top Bottom