Kufa kufaana:Wasanii Bongo Movies waanza kuchangisha pesa..

Niliikuwa pale siku moja kabla ya mazishi, kuna jamaa mmoja aliyetaka kutoa kiasi kikubwa cha fedha, sasa jamaa yangu mwingine akamchukua na kumpeleka kwa mwenyekiti ili ampe mchango wake. Msanii mmoja maarufu aliposikia kiasi kilichotolewa na yule jamaa alilalamika sana kwa nini zile fedha asingezipokea yeye na kubakisha kiasi mfukoni mwake, aliongea katika hali ya utani lakini wenye akili tulielewa alichokuwa akikimaanisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom