KUF Kitakufa Kama CCJ.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kamarade, Waberoya & Co.

Mumebugi mtindo wa kuanzisha chama chenu cha Kigoma United Front.

Mwamchukia Dr. Slaa kwa sababu ya wivu na ubinafsi.

Mwamchukia Freeman Mbowe kwa sababu ya wivu na ubinafsi.

Lakini hata waasisi wa Chadema mwawachukia pia?

Angalieni. Mtalaaniwa.

Chadema kinapendwa na WaTz, siyo na kikundi chenu cha wahuni wanachama waasi wa KUF.

KUF kitakosa usajili.

KUF kitakufa kama CCJ.
 
Heee..................wewe ng'wanangwa!....bado unahangaika na hii taasisi ya dini ya kiislamu?
 
Heee..................wewe ng'wanangwa!....bado unahangaika na hii taasisi ya dini ya kiislamu?

hatutawaacha watu wenye mbinu chafu za kuuwa upinzani Tanzania.

Wana wivu kuona Chadema kimeasisiwa na watu wa Kaskazini.

Wanasahau Elimu ilianzia Kaskazini.

It will continue that way.
 
hatutawaacha watu wenye mbinu chafu za kuuwa upinzani Tanzania.

Wana wivu kuona Chadema kimeasisiwa na watu wa Kaskazini.

Wanasahau Elimu ilianzia Kaskazini.

It will continue that way.

sasa punguza kidogo ukanda kwani ukiwajaza sana misifa kuwa hata elimu ilianzia huko unaweza kuchefua wale wa nyanda za juu ambao walipata elimu mapema zaidi.
 
Back
Top Bottom