Kuendesha nyumba kwa remote control

hee kumbe na chumban kwenu huwa mnapaacha wazi?
kuna mama alikuwa anafunga chumba chake kila siku, kuna siku akahisi kaibiwa chumbani, akaamua kubadilisha kitasa........ si akakuta karushiwa spare key ya kile kitasa alichobadilisha! hawa watu wakiamua wanaweza kufanya lolote
 
FP, mie sijawahi cheat wala kutamani kucheat

wale ulioniona nao mmoja ni shamba boy, mwingine ni mfanya kazi wa kwenye mizinga ya nyuki.

Mie ni huyu mmoja tu lol

shangaaaaaa, chezea mke wa mtu.............. si unajua siku hizi watu wanataka wake za watu..................... hakuna commitment wala kusumbuana usiku mkali. kila mtu anakuwa na wake mida hiyo
 
kuna mama alikuwa anafunga chumba chake kila siku, kuna siku akahisi kaibiwa chumbani, akaamua kubadilisha kitasa........ si akakuta karushiwa spare key ya kile kitasa alichobadilisha! hawa watu wakiamua wanaweza kufanya lolote

mh,mabwaku km ndo hvo. sa ukiacha waz c ndo atakagua idadi ya pichu zako na za mume na kila korokocho?
 
ha ha ha, dah nimeamini
huyu huyu FP alikuwa ananiambia wee una nyumba ndogo wengi
kumbe anataka niondoke bure?? Lol

kama upendavyo, mie nafuata Mr Boss.

FP, kanywe sumu na fitna zako na akina Charminglady na platzoom.

now unaona how it is so privileged and a lot of prestige
to be 'Mrs Boss'
so this title inakwenda na 'kujiheshimu'..na kuwa makini...
otherwise 'kazi ni kwako'
 
wale ulioniona nao mmoja ni shamba boy, mwingine ni mfanya kazi wa kwenye mizinga ya nyuki.

Mie ni huyu mmoja tu lol[/QUOTE]

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Kongosho!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom