umeichukua kwa miraji kikwete fb!!! ndio alie ipost!!!
umeichukua kwa miraji kikwete fb!!! ndio alie ipost!!!
na hapa ndipo wabongo sababu ya kutokutafuta maarifa tunaishia kuamini kuwa aliyeintroduce kitu ndiye mwenye nacho badala ya kujua sources zake.Ina maana huyo Miraji ndo Kaichora? imechorwa na Nguli Godfrey Mwampembwa aka GADO, na inatoka gazetini huyo RIZ1 wako ana haki miliki ya michoro ya GADO?