jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Ahahahahahahaa....ni vigumu sana kupingana na facts babu. Na wengin wanaopinga kuwa Miafrika Ndivyo Tulivyo wanapinga tu kwa sababu ya pride na si kingine. Na wanapinga wakiwa majuu. Mimi nataka wapinge wakiwa kwa Mfuga Mbwa huku wakiwa wamezungukwa na dhiki, uchafu, takataka, mavumbi, joto, njaa, n.k.
Dhana kwamba miafrika ndivyo tulivyo pia ni very negative,mimi si kwamba nakubaliana nayo ila wengi wenu mnakubaliana na kubishana kuhusu hilo kwangu binafsi hakupo tena,kila mtu abaki na mtizamo wake,lakini kama kweli unaamini kuwa sisi binadamu waafrika ndivyo tulivyo kwasababu eti ya Mungu kuzipendelea race nyingine,then huo ndo ufafanuzi wako na ndio maana hata wakoloni waliwaambia mababu zetu kuwa Mungu anasema nikikupiga kibao shavu hili geuza na lingine,waliokuwa wakiamini sisi ndivyo tulivyo walifanya hivyo,kadhalika na sasa nchi zinauzwa kwa wageni kwasababu mtu mwenye mentality kuwa miafrika ndivyo ilivyo ana haja gani ya kufanya kitu kwa miafrika hiyo,si ni slave trade tu ilikuwa aboloshed recently kwa sababu miafrika si iliuza miafrika myenzao na sasa ni madini,mbuga nk?Bila kusahahu utu?
Tukirudi kweye ukweli kuhusu sayansi ya asili ya mwanadamu wewe una maoni gani?Je wewe unazungumzia miafrika colorwise ama unamaanisha mwafrika kama mwanadamu miwngine yoyote yule ambapo tofauti kwa rangi tu? Kwamba we all have a common ancestor? Do you know how life started?