Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.
mhhhh kama ni kweli haya but mtazamo wangu ni kuwa anahitaji kukomaaa zaidi kisiasa..Zitto tuambie ukweli juu ya tetesi hizi
 
Kama ni kweli sina hakika kama ndiyo njia kuelekea kugombania uraisi kwa chama chake au la; hata hivyo naomba atoe kipaumbele cha kutokosa kuwa mjengoni dodoma katika kipindi kingine cha miaka mitano ijayo, kwa maoni yangu bado anahitajika sana pale.
 
Basi wasifanya uchaguzi kama ndo hivi, Zitto atatumiwa na MAFISADI hajakomaa kumbuka sakata la DOWANS
 
Basi wasifanya uchaguzi kama ndo hivi, Zitto atatumiwa na MAFISADI hajakomaa kumbuka sakata la DOWANS

I really hate this statement. Hiyo experience mnayoing`ang`ania ndo imetufikisha hapa. Hivi nyinyi mnataka kapriensi ipi? Si ni hii experience ya kina Kingunge, Chenge nk..imetufikisha hapa tulipo?

Please, mi naomba tukiwa tunajdili mstakabali wa taifa letu tuwe tunakuwa serious kidogo.....hivi kukomaa kisiasa (au namna nyingine yoyote ile) ni umri wa mtu au ni mawazo na michango yake katika kutoa hoja?
 
Mwoneeni huruma mabo ya saumu za asubui ndio hivyo tena anasoma ndivyo sivyo..yawezekana alisoma ya makamba akajua ni dr. slaa na ukute miwani aliisahau juu ya kabati asubui wakati anatoka
 
Kukomaa maana yake nini? Je Mbowe amekomaa? Nadhani Zito anaweza kabisa kuwa mwenyekiti wa chadema. Msilete mambo ya kina kingunge kuwa huyu hajakomaa, ili wazee waendelee kuwa madarakani. Zito kama una-kusudia kugombea usirudi nyuma.
 
Japo nimeona story ya jana ya Majira kuwa Dr. Slaa, hagombei, kwa Chadema ninayoiona mbele, Dr. Slaa M/Kiti, Zitto ni Katibu Mkuu.
 
Japo nimeona story ya jana ya Majira kuwa Dr. Slaa, hagombei, kwa Chadema ninayoiona mbele, Dr. Slaa M/Kiti, Zitto ni Katibu Mkuu.

Mkuu hata mimi hapa nakuunga mkono kwa huu utabiri,,, hebu tuone itakavokuwa
 
Habari ambazo nimezinyaka hivi punde toka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CHADEMA zinasema kuwa Mhe. Zitto Z. Kabwe anatarajiwa kuwa mmoja wa wagombea nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Zaidi nitawafahamisha kadiri muda unavyokwenda

Zina ukweli habari hizi!
 
nyie hamjui za gt....anataka kupoteza mwelekeo wa watu kutoka threads za sitta na nec. Wacha hizo wee mtoto wa fisadi!!!
........

hivi vitu mtajua fomu zikirudishwa. Kwa sasa tuzungumzie mambo ya bunge na chama. Nani zaidi?
 
Zina ukweli habari hizi!

Ushauri wa bure kwa wapinzani ni kwamba wanahitaji wagunge wingi zaidi bungeni.Wafanye watakachofanya wachue viongozi ambao wanakubalika kwa wananchi,waweke mkakati wa kupata wabunge wengi zaidi bungeni ndipo wafikirie kiti cha urais.Hengera CHADEMA mwelekeo huu wa uongozi unakubalika kwa wengi.
 
I really hate this statement. Hiyo experience mnayoing`ang`ania ndo imetufikisha hapa. Hivi nyinyi mnataka kapriensi ipi? Si ni hii experience ya kina Kingunge, Chenge nk..imetufikisha hapa tulipo?

Please, mi naomba tukiwa tunajdili mstakabali wa taifa letu tuwe tunakuwa serious kidogo.....hivi kukomaa kisiasa (au namna nyingine yoyote ile) ni umri wa mtu au ni mawazo na michango yake katika kutoa hoja?

Masanja.

TOTALLY CONCURING WITH YOU.

By the way there are so many thing that ZITO brought up in the house and have helped us. Was he having experience??? What have they done those who are in the house with their experience?? I also hate hate this kind of statement.....
 
Kijana tayari ana ngozi ngumu ya kisiasa, tumwache ajitose anaweza akatuokoa.
 
he still has a long way to go in politics.

kwanza amelize matatizo ya jimboni kwake jambo kwa 50%,ndio aaanza huko juu kwenye more than 34millions citizen.
 
I really hate this statement. Hiyo experience mnayoing`ang`ania ndo imetufikisha hapa. Hivi nyinyi mnataka kapriensi ipi? Si ni hii experience ya kina Kingunge, Chenge nk..imetufikisha hapa tulipo?

Please, mi naomba tukiwa tunajdili mstakabali wa taifa letu tuwe tunakuwa serious kidogo.....hivi kukomaa kisiasa (au namna nyingine yoyote ile) ni umri wa mtu au ni mawazo na michango yake katika kutoa hoja?
To be experienced means being wise enough to avoid mistakes you made in the past.
 
Last edited:
Zitto mwanachama humu.

Mkuu, tunakuomba uje kuweka mambo kwa uhakika zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom