Kuelekea Uchaguzi mkuu 2015 vyombo vya habari mmetuangusha sana

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Nimewaza sana ni kwa nini tunakosa vionjo muhimu kwenye Uchaguzi huu nimegundua vyama vyote vinatembea na wanahabari ambao wamewagharimia wenyewe zaidi ya kutegemea maripota waliopo mikoani.

Hii imesababisha kukosa taarifa huru na haki unategemea Buhohela ataonyesha taarifa ya kumuumiza Magufuli au Spensa Lameck amuudhi Lowassa?
 
Vyombo vya habari vimeandaa mdahalo wananchi hamtaki watu wenu wahojiwe!
Sasa wao kwanini wasikae kupiga pesa!
Fanyeni mnaloliweza waandishi! Hawa watanzania ni watu vigeugeu ukiwaendekeza wote mtapoteza!
 
Back
Top Bottom