Kuelekea: Mkutano Mkuu wa CCM Tawi la Uingereza - Jumapili - Julai 26

Kama mwana JF nadhani nina jukumu la kuwaletea habari za yaliyojiri kwenye huu mkutano mkuu wa ccm uliomalizika takriban dk 90 zilizopita.

Mgeni rasmi alikuwa Mweka Hazina wa CCM, Amas Makalla.

Wanachama na wapenzi wa CCM waliohudhuria walikuwa kati ya 200 - 300

Mengi yalizungumzwa ikiwa ni pamoja na maendeleo ya Tawi la CCM Uingereza hadi hali ya kisiasa Tanzania.

Maswali yaliulizwa ya mchanganyiko, kuhusu Muungano, Ufisadi, Matatizo ya Arthi, Lengo la CCM Uingereza n.k

My Take: CCM wako Serious katika kujenga hili Tawi na Matawi mengine nje ya Tanzania, kwa wale ambao bado wanaona watafanikiwa kwa kubeza juhudi hizi za CCM nawapa pole. CCM wamejizatiti na kadri wana JF wanavyoendelea kubeza ndivyo Chama kinavyojichimbia mizizi vijijini na sasa nje ya Tanzania. Chama cha Mapinduzi kinajenga viongozi wa kesho kuanzia huku walipo.

Kila la kheri.
sasa haya ndiyo yaliyosemwa kwenye mkutano
kazi kweli kweli
 
Ni kawaida ya watanzania kushabikia kitu/vitu hata uwe mzoga.wengi wamekuja hapo kwa vile kuna DISCO,WANAWAKE na POMBE ZA BURE.
MAKAMPUNI kama Vodacom hutumia bendi za muziki kupata watu.
WALIOKUJA WAMEKUJA KUFUATA HIVYO VITU VYA BURE. HATA TLP WAKIWA NA MUZIKI WA BURE WATAKUJA WATU.
KULE KWA MICHUZI WAMEWEKA RIPOTI KULIKUWA NA WAMACHAMA MIA TANO.JEE KWELI?
 
yebo yebo kasema
Wanachama na wapenzi wa CCM waliohudhuria walikuwa kati ya 200 - 300
 
janja ya CCM jamani,secondly inaandaa watoto wa wana CCm kuja kurithi nafasi za baba na mama zao tz, wameona siasa ya tz ni ngumu inabidi wajikremishe chamaz wakiwa nje. hakuna lolote ni kujitanua kichama na kula hela ya wananchi buree!kwani kuna tawi la republicans,tz? au SDP? au Labour? DP? uzushi baada ya kutaka ulaji mwingine wa hela
 
yebo yebo kasema

HATA aliosema YEBO YEBO sio wana CCM.MFANO HELKOPTA YA MBOWE IKITUA BUSANDA WATU WATAKWENDA KUIONA HAINA MAANA NI WAPENZI WA CHADEMA.

WATU WAMEFUATA MUZIKI NA POMBE ZA BURE.
HAO MAKADA( KAMA AMOS MAKALLA )WALIOKWENDA WAMETUMIA MAZINGIRA HAYA KUTENGENEZA POSHO AU SAFARI ZA NJE.

YEBO YEBO NAKUHAKIKISHIA 2011 HUTASIKIA KUNA CCM UK.HAWA WANAJIITA CCM UK WANATAFUTA NJIA YA KUTOKEA TU.
 
Kwa hiyo sasa hivi unakubali CCMUK ipo!!!!
 
Back
Top Bottom