Kuelekea: Mkutano Mkuu wa CCM Tawi la Uingereza - Jumapili - Julai 26

binadamu yyote mwenye akili timamu hawezi kuwa mstari wa mbele kufungua matawi ya CCM John Lusingu kila kukicha aningia humu kuleta propaganda za CCM na huu ni mwaka wa 3 hivi hatumpumzishi nashangaa kaja kuanzisha thread bila kusema ukweli kuwa baba yake mzazi alishamkataza mambo ya kuingia humu JF lakini ndio sikio la kufa halisikii dawaPesa za Malinzi kala mwenzao Juma Pinto hajafungua hiyo TV na Redio za CCM kama livyoahidi...nasikia karudi bongoLusingu inajulikana kweli anapenda slopu na ndio maana yuko kama Chama na Mogela kwa mze kwa mwenzie .....Susan Mzee ambaye ndiye mwenyekitihawa CCM reading wamekaa kifisadi fisadi tuuu
 
wakati CHADEMA iko mstari wa mbele kuwakomboa watu kimawazo left and right huyu Lusingu na Susan 'aka BBC aka British Bottom cleaner' Mzee anawarudisha watu nyumaBalozi naye inabidi ampe mumewe shughuli ya kufanya maana hawezi kudai anawaunganisha watu huku mumewe yuko bize na susan kufungua matawi vya vyama...haya ndio mambo ya biasBadala ya kufungua organisations zenye dira ya kuwaendeleza watu Nyumbani wao muhimu kufungua matawi ya Kifisadi
 
Haya matawi yanayo fungulikuwa ughaibuni ni wanachama kujikomba komba kwa mafisadi ambao watawala wa nchi ili nao makaratasi yakiisha wakirudi TZ angalau wafikiriwe post nzuri nzuri kwenye chama na kiserikali.

very very true
 
Walau tungelikuwa nchi ya kwanza kufanya kitu fulani na hicho kitu kiliingizie Taifa kodi. Pundamilia, waweza kuweka hapa bayana, jinsi Tanzania inavyofaidika na kuwepo kwa tawi la CCM UK?

Mipingo kweli tuna matatizo sana. Ni au hatufikiri kabisaa..... na tukifikiri na kuanza kufanya mambo, ni Pwagu na Pwaguzi (Ntakukumba mwenzio..) Mie nasema siku zote heri walau tungelianzisha vibali na kodi kwa malaya na Posta zijengwe cafe za kuvutia bangi. Kodi ingelikusanywa na akina mama wasingelizalia kwenye sakafu.

Cha kushukuru Mungu ni kuwa kwa sasa mambo yanafahamika haraka sana na si kama wakati wa JKN. Siku ikifika mafisadi na umma wao wataumbuka na umoja/vyama vya siasa ugaibuni, vitakufa natural death.

Hapo kwenye red pamesema yote. Prof. Watson alikuwa sahihi kuhusu mtu mweusi. Kuna Prof. mwingine kaja na utafiti kama huo bali yeye kaenda mbali zaidi na kuainisha kwamba kunakosekana element flani kwenye vinasaba asilia kwa mtu mweusi.
 
Walau tungelikuwa nchi ya kwanza kufanya kitu fulani na hicho kitu kiliingizie Taifa kodi. Pundamilia, waweza kuweka hapa bayana, jinsi Tanzania inavyofaidika na kuwepo kwa tawi la CCM UK?

Mipingo kweli tuna matatizo sana. Ni au hatufikiri kabisaa..... na tukifikiri na kuanza kufanya mambo, ni Pwagu na Pwaguzi (Ntakukumba mwenzio..) Mie nasema siku zote heri walau tungelianzisha vibali na kodi kwa malaya na Posta zijengwe cafe za kuvutia bangi. Kodi ingelikusanywa na akina mama wasingelizalia kwenye sakafu.

Cha kushukuru Mungu ni kuwa kwa sasa mambo yanafahamika haraka sana na si kama wakati wa JKN. Siku ikifika mafisadi na umma wao wataumbuka na umoja/vyama vya siasa ugaibuni, vitakufa natural death.

Mkuu Sikonge,
Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata fursa ya kushiriki kikamilifu katika siasa za Tanzania. Huu upanuzi wa ushiriki ni faida kubwa sana kwani watanzania hao ni sehemu ya wanachama wa CCM walioko nyumbani. Wanahaki sawa katika kukijenga na kukiimarisha chama chao wanachokipenda kama walivyo wale wengine waliopo Busanda, Biharamulo, Mchafukoge, Chakechake, nk.
 
Jamaa mjinga sana huyu tokea akiwa Mwenge Secondary miaka ya 90's! Hawezi kufikiri ni Mzee wa kupenda slope sishangai anachokifanya sasa ndivyo alivyo!

john lusingu si mmoja wa viongozi wa ccm UK inaonekana jinsi mlivyo na chuki binafsi na mtu. nadhani kama mtu unataka kujadili swala la ccmuk nenda kwenye hoja kuliko hii tabia ya kuhit the bush,mimi sitetei hicho chama lakini hakuna mtu aliyeandika hapa ambaye anani-convince kwa nini wanachama wa ccm kama katiba inawaruhusu wasionyeshe mapenzi kwa chama chao popote walipo.
 
yebo yebo na john lusingu ni vitu viwili tofauti, ama kweli usilolijua ni kama usiku wa giza!!
kama ni kupiga debe mbona basi hata wazee wazima watatinga siku hiyo ya mkutano mkuu wa tawi, waacheni na mapenzi yao katika chama chao "mapenzi ni kama donda"
 
waarabu wanasema KUL WAHED

akili kichwani kwako
 
Quote:
12n2_01.png

WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TAWI 2007

1. Ndugu Susan Mzee - Mwenyekiti
2. Ndugu Moses Katega - Katibu wa Siasa na Uenezi
3. Ndugu Alan Kalinga - Katibu wa Uchumi na Fedha
4. Makatibu wa Matawi ya Jumuiya za Wananchi zinazoongozwa na CCM
WENYEVITI WA MASHINA KATIKA TAWI
5. Ndugu Victor Mgoya – Shina la Reading
6. Ndugu Peter Gabagambi – Shina la Birmingham
7. Ndugu Kapinga Kangoma - Shina la Southampton
8. Ndugu Frank Mkiza - Shina la Islington London
9. Ndugu Wencheslous Ikumla - Shina la North London
10.Ndugu Daudi Mwakimwagile - Shina la Manchester
WAJUMBE WALIO CHAGULIWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI
11. Ndugu Sigsbert Rutajunara
12. Ndugu Tino Msei
13. Ndugu Maira Migire
14. Bi Lily Barongo
15. Ndugu Mrema
16. Bi Semeni Mshauri

Mbona mastermind mwenyewe yule jammaa mwenye cargo ya swift something jina lake silioni hii ndio sababu wengine ua-mini labda kuna namna kwa sisi wana CCM wengine wenye kushutumu utawala wa sasa. Kwanza jamaa ni mkimya sana kazi kucheka tu na kujifanya playboy. Hila anaonekana ni mjuaji mno kuliko yule mrembo wa reading anaemfanya chambo tu. Embu aseme hasa shughuli yake kubwa UK ni nini hasa wengine tuna tarajia kwenda holiday bongo isije ndio ikawa tunabakizwa huko mmmh ni hatari sana kama mababu walivyosema Simba Mwenda Pole ndio Mla Nyama.
 
Wakuu, nawaletea hii makala iliyoandikwa na mwanachama wa CCM Tawi la Uingereza. Hizi ni salamu zake kabla ya mkutano mkuu ujao.

Matawi ya Nje: Hazina ya CCM

Uanachama wa CCM katika Ulimwengu-Kijiji
........... wana-CCM walio nje na hata nyumbani wautumie muda wao wa ziada kuisoma zaidi na kuielewa, kuitekeleza na kuitetea siasa ya chama. Pia tutumie vipawa, elimu na ujuzi tulionao kubuni mbinu na sera mpya za kuijenga nchi yetu ili na kuboresha zaidi na zaidi elimu, huduma ya afya na kila sekta ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Kwa kufanya hivi tutakiwezesha Chama Cha Mapinduzi kuendelea kuwa madarakani. [/FONT][/COLOR]

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Kamaradi Amani Millanga

Ama kweli Ujinga hauchagui!!,

Watu wanashindwa kufikiri jinsi ya Ku-invest na kuendeleza vipato vyao wanakalia kujipendekeza kwa Mafisadi. sh*&^%$"**
 
Inasikitisha kuona watu wanaojiona wameelimika kwa kupata elimu ya juu na upeo kwa kuishi nje ya Tanzania wanaamini kabisa kuja hapa kutoa kashfa na kejeli ndio njia muafaka ya kuleta maendeleo na demokrasia Tanzania.!!

Kwa maoni yangu, hakuna namna rahisi na yenye mafanikio zaidi katika "kuchelewesha" maendeleo na demokrasia tunayoitaka Tanzania iwapo Watanzania hatutajifunza kuheshimu uhuru wa kila Mtanzania popote alipo.
 
Wezi wa ughaibuni; wataiba vipi; hii ndio njia; naamimi si watanzania wazalendo ambao kweli wanapigania haki; nilidhani kwao kwenda nje kungewafungua macho kumbe feki kabisa; hamna msaada kwa watz wenzenu
 
Inasikitisha kuona watu wanaojiona wameelimika kwa kupata elimu ya juu na upeo kwa kuishi nje ya Tanzania wanaamini kabisa kuja hapa kutoa kashfa na kejeli ndio njia muafaka ya kuleta maendeleo na demokrasia Tanzania.!!

Kwa maoni yangu, hakuna namna rahisi na yenye mafanikio zaidi katika "kuchelewesha" maendeleo na demokrasia tunayoitaka Tanzania iwapo Watanzania hatutajifunza kuheshimu uhuru wa kila Mtanzania popote alipo.

Hujaeleweka ndugu; unatetea mafisadi wa ughaibuni au unasemaje; maana umeongea mafumbo kama msanii ( mpoto vile)
 
Hujaeleweka ndugu; unatetea mafisadi wa ughaibuni au unasemaje; maana umeongea mafumbo kama msanii ( mpoto vile)

Hujanielewa kwa sababu wewe unasoma ukitegemea kuona jina la mtu au watu.!! Kejeli na dharau hazibadilishi fikra, sana sana zinafanya kazi ya mafisadi kuwa rahisi zaidi.
 
Kama mwana JF nadhani nina jukumu la kuwaletea habari za yaliyojiri kwenye huu mkutano mkuu wa ccm uliomalizika takriban dk 90 zilizopita.

Mgeni rasmi alikuwa Mweka Hazina wa CCM, Amas Makalla.

Wanachama na wapenzi wa CCM waliohudhuria walikuwa kati ya 200 - 300

Mengi yalizungumzwa ikiwa ni pamoja na maendeleo ya Tawi la CCM Uingereza hadi hali ya kisiasa Tanzania.

Maswali yaliulizwa ya mchanganyiko, kuhusu Muungano, Ufisadi, Matatizo ya Arthi, Lengo la CCM Uingereza n.k

My Take: CCM wako Serious katika kujenga hili Tawi na Matawi mengine nje ya Tanzania, kwa wale ambao bado wanaona watafanikiwa kwa kubeza juhudi hizi za CCM nawapa pole. CCM wamejizatiti na kadri wana JF wanavyoendelea kubeza ndivyo Chama kinavyojichimbia mizizi vijijini na sasa nje ya Tanzania. Chama cha Mapinduzi kinajenga viongozi wa kesho kuanzia huku walipo.

Kila la kheri.
 
My Take: CCM wako Serious katika kujenga hili Tawi na Matawi mengine nje ya Tanzania, kwa wale ambao bado wanaona watafanikiwa kwa kubeza juhudi hizi za CCM nawapa pole. CCM wamejizatiti na kadri wana JF wanavyoendelea kubeza ndivyo Chama kinavyojichimbia mizizi vijijini na sasa nje ya Tanzania. Chama cha Mapinduzi kinajenda viongozi wa kesho kuanzia huku walipo.

Kila la kheri.
CCM imeleta makada ambao wametoa majibu toshelezi kwenye hoja mbalimbali nyeti kwa Tanzania; Miundombinu,elimu,Utawala bora, Ardhi n.k
 
Kama mwana JF nadhani nina jukumu la kuwaletea habari za yaliyojiri kwenye huu mkutano mkuu wa ccm uliomalizika takriban dk 90 zilizopita.

Mgeni rasmi alikuwa Mweka Hazina wa CCM, Amas Makalla.

Wanachama na wapenzi wa CCM waliohudhuria walikuwa kati ya 200 - 300

Mengi yalizungumzwa ikiwa ni pamoja na maendeleo ya Tawi la CCM Uingereza hadi hali ya kisiasa Tanzania.

Maswali yaliulizwa ya mchanganyiko, kuhusu Muungano, Ufisadi, Matatizo ya Arthi, Lengo la CCM Uingereza n.k

My Take: CCM wako Serious katika kujenga hili Tawi na Matawi mengine nje ya Tanzania, kwa wale ambao bado wanaona watafanikiwa kwa kubeza juhudi hizi za CCM nawapa pole. CCM wamejizatiti na kadri wana JF wanavyoendelea kubeza ndivyo Chama kinavyojichimbia mizizi vijijini na sasa nje ya Tanzania. Chama cha Mapinduzi kinajenga viongozi wa kesho kuanzia huku walipo.

Kila la kheri.

Hapo mkuu nakupongeza kwa uharaka wa kutuhabarisha,
yaonekana hawa wamejiandaa vema, wengi tulifikiri kuwa hawa CCM UK ni wababaishaji, kumbe....!!!
 
Back
Top Bottom