kuelekea mikoani barabara zetu na mandhari ya nchi yetu

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,322
47,040
kuelekea manyara


Flickr 上 Furious111 的 The road to Manyara

MARA

48299171.jpg


MAENEO YA MIKUMI


Flickr 上 paulaellison 的 IMG_1143


KUELEKEA NGORONGORO


Flickr 上 ccpix 的 The road to Ngorogoro Crater

PICHA ZAIDI GONGA HAPA http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595
 
Sawa bwana Ndinda,ndani ya anga zako.
shwari mkuu, nimeangalia post nyingi humu na kwenye libeneke lingine pamoja na blogs za wabongo kibao nimegundua watz tumekata tamaa sana, pamoja na kuwa tuna mabaya mengi Na yanatukatisha tamaa, ni vizuri pia kuangalia upande mwingine wa nchi yetu, pamoja na kuwa barabara hizi ndio highway zetu, ni hatari kuliko, ajali nyingi ni kugongana vichwa kwa vichwa, na tunapoteza nguvu kazi karibia kila siku,tunawaombea kwa mungu wenye mamlaka waamke watuonee huruma angalau watenganishe barabar hizi, hata kama ni lane moja moja hamna noma ili mradi vichwa vipungue, au siku nyingine wakiwa na hela hizi ziwe za upande mmoja tuu na wanongeze nyingine upande wa pili ili ziwe njia nne na hapo yatabaki matatizo ya dereva tuu na ubora wa gari yake, lakini kwa njia hizi, tumuombe mungu tuu atulinde( IMO)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom