Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Mi siju bana....... Hebu niongezee chibuku kubwa ya mbege bana niendelee kusubiri matokeo ya hili gemu.
 
ASANTE""""""""!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KWA kunijuza kumbe EL, siku hizi ni SHEKHE, kwele nimeamini kumbe ule mpango wa MS ulikuwa mkali na umefanya kazi. TUTASIKIA MENGI SANA MPAKA 2015. EEEE!!!!!!!!! MUNGU WETU IEPUSHE TZ NA MAPANGA. Na watu wotu wanaompenda MUNGU na kumcha, waseme AMINA
 
Zomba live kambi ya EL fisadi nambari moja na mhujumu uchumi!! Mtu akimtetea huyu aliyetuletea Richmonduli ambayo tunateswa nayo hadi leo kupitia Dowans na mambo ya kibepari yaani wewe!!! Huyu ni hatari kama bomu la Hiroshima na Nagasaki, madhara yake yanaendelea hadi leo Japani. Usimpigie kampeni huyu kirusi. Ngoja waje wazee wa JF waanze kumchana!!
 
Maana ya Sheikh ni Mzee, sasa Lowassa siyo Mzee?
 
Zomba live kambi ya EL fisadi nambari moja na mhujumu uchumi!! Mtu akimtetea huyu aliyetuletea Richmonduli ambayo tunateswa nayo hadi leo kupitia Dowans na mambo ya kibepari yaani wewe!!! Huyu ni hatari kama bomu la Hiroshima na Nagasaki, madhara yake yanaendelea hadi leo Japani. Usimpigie kampeni huyu kirusi. Ngoja waje wazee wa JF waanze kumchana!!

Hayo ya Richmond usituletee hapa, kwani mahakama za Kimataifa na za Tanzania zimeshamuwa na kumaliza kuwa Dowans walidhulumiwa na walipwe. Nini zaidi?
 
Lowassa hata avae msuli na kufunga bado ni fisadi asiyepaswa kuwa rais wa nchi yetu. Kikwete na kizazi hiki cha mafisadi wametosha. Badala ya kuhangaika kujisafisha aeleze ukweli jinsi yeye na Kikwete walivyoshiriki kuhujumu nchi kupitia Richmond. Vinginevyo anapoteza muda. Natamani CCM wamsimamishe Lowassa ili CDM ishinde asilimia 90.
 
CCM na Serikali yake inatisha kwa haya yanayoendelea haya ubishi!mbona unaanza kupiga ramli mapema!ukitaka kujua uchungu wa kujinyonga jaribu kwanza mguu!
 
Ingekuwa vizuri sana kama mngejiuliza ni nani wa kupambana na huyo 'Shekh' ndani ya CCM.
Membe? Sita? Sumaye?....?
 
Lowassa hata avae msuli na kufunga bado ni fisadi asiyepaswa kuwa rais wa nchi yetu. Kikwete na kizazi hiki cha mafisadi wametosha. Badala ya kuhangaika kujisafisha aeleze ukweli jinsi yeye na Kikwete walivyoshiriki kuhujumu nchi kupitia Richmond. Vinginevyo anapoteza muda. Natamani CCM wamsimamishe Lowassa ili CDM ishinde asilimia 90.

Hayo ya Richmond usituletee hapa, kwani mahakama za Kimataifa zimeamuwa kuwa Dowans walidhulumiwa na walipwe. Nini zaidi? Na sasa ni Symbion na Bi Clinton aliitembelea hiyo mitambo, au umesahau.

Wewe una siasa za Slaa nilizoainisha huko juu, hazina mshiko na mpaka 2015 ndiyo kabisaaaaa zitakuwa zilipendwa.
 
Hapa ngoja nikae kimya tu maana unaweza ukapata ban la masha bure hadi ukaisahau JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom