Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,101
- 35,028
Lowassa alianza kuungwa mkono na makundi makubwa ya kijamii, kisha makundi makubwa ya wanaCCM na sasa hadi UKAWA wanamuunga mkono.
With just 7 days to come, hakuna kipya cha kuwaambia wanabodi, bali ni kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, nini kinafanyika sasa, na nini kitafanyika hizo siku 7 zijazo, yaani tarehe 25 October, kiukweli kabisa, sioni jinsi yoyote ya CCM kushinda tena!, Chadema inakwenda kuchukua nchi kiulaini kabisa kama imeokota!, yaani CCM inakwenda kuanguka chini kiulani kabisa kama kumsukuma mlevi!.
Lakini ili hili litimie, ni lazima kila aliyejiandikisha, ajitokeze hiyo tarehe 25, aende kupiga kura na kumchagua Edward Lowassa!.
If "Together wa can!", and "United we Stand", "Victory is ascertain!"
Nawatakia Jumapili njema!.
Pasco
Jua liwake, mvua inyeshe 25/Oktoba ni lazima Lowassa atashinda vizuri kabisa.