Kueleke miaka 50 ya uhuru, mmh

Tunatumia mabilioni kwa ajili ya chai kwenye ofisi za serikali, michezo ya wizara, ziara za mafunzo, Magari ya kifahari yasio ya lazima, tafrija za kila namna wakati wanachi wako hivi. Hio ni shule bado hatujaona hospitali, barabara mahakama, huduma za maji, ustawi wa jamii.

Halafu inafika tunaenda kwa wafadhili kuomba fedha za kuendesha nchi.

Kwa kweli hii ni nchi ya masihara.

Wafadhili wenyewe kwa sasa wamechoka maana wanavyokuja huku na kuona matanuzi yetu wanaishiwa hata hamu ya kutoa msaada maana Mkuu wa Mkoa ambaye shule zake kadhaa anaziombea msaada wa vitabu anaenda kutembelea shule hizo na the same mfadhili wa vitabu akiwa anaendeshwa kwenye V8 la milioni 200 wakati mfadhili amekuja na Land Rover 109 iliyoozeeka
Hapo unaona tofauti ya mtoa msaada na mpokea msaada
 
Kwa kuongezea hata ule uwanja wa uhuru umevunjwa na kupandishwa majukwaa ya kichina,uhalisia wa uwanja wa uhuru umepotea hizo fedha zilizotumika ni nyingi sana lakini nasikitika sana kuwa zimetumika kufuta historia yetu,kwa wale walioona harusi ya Philip uingereza nilichunguza ile shule aliyosomea yaani ni ya zamani kwelikweli nadani kama miaka 700 iliyopita na nilijiuliza kwanini hawajaivunja?kumbe jni kumbukumbu muhimu kwao sisi uwanja tu umetushinda mpaka kuamua kuubomoa inaniuma sana.
 
juzi juzi nilimwona mkuu wa nchi akiwa kaketi ikulu akiwa na waziri mkuu wa India, Dah full kuvuta raha na upepo wa kiyoyozi!! inasikitisha sana mkubwa, hivi kwani kwenye semina elekezi aloifanya hapa majuzi na kuwataka viongozi watenbee wasikae maofisini,yeye pia anajua hali ya watu wake!?? VIONGOZI WETU WAACHE UNAFIKI KWA KUJIDAI HAWAJUI HALI YA UMASKINI WALIONAO WANANCHI!! TUFUNGENI MIKANDA JAMANI MWAKA 2015 SIO MBALI HEBU TUWEKE UONGOZI MWINGINE NAO TUWAPIME WATATUFANYIA NINI KULIKO KUWASHUTUMU HAWA WA SASA WANAOONEKANA KABISA JAHAZI LIMEWASHINDA!!
 
dah inasikitisha sn, limaonekana km zizi la ndama jmn. hawa viongozi wetu hawa utu.....afu kila kukicha wanajiongezea mishahara tu na kununua mashangingi
 
Maandalizi kabambe ya miaka hamsini ya uhuru yameanza uwanja wa taifa. Mastar karibia wote wako bize kuandaa single kwa ajili ya sikukuu hii. Sijui kama wamejiuliza tulikotoka na tunakoelekea. Wao kila dili ya CCM wanakubali tu hata kama hali hairuhusu...
229212_10150184874726088_505741087_7157262_8004840_n.jpg

Stylist wa Uhuru Tshirts ni Ally Rehmtula.....hapo atakuwa kavuta mkwanja wake walalahoi tupo tu.

189609_10150097857636088_505741087_6549796_6900603_n.jpg

50 yrs of independence wakati hali ya uchumi ni mbaya kuliko awamu zote.
 
Kweli walalahoi tupo tupo tuu.
Billioni zitatumika kufanya sherehe hizo wakati wanafunzi hawana madawati na hospitali hazina madawa
 
Kikwete akiiona lazima afurahi sana kwa kuwa uniform ni jezi ya chama cheti teeeeh teeeh aaaah aaaaah mtajibeba
 
Maskini watoto hawa, tena wapo eneo nyeti linaloingizia hii nchi mamilioni ya shilingi kwa mwaka. Watoto wa umasaini wakiwa darasani. Nini cha kujivunia miaka 50 ya uhuru kama hali bado mbaya hivi? hizo fedha wanazoandalia sherehe ya uhuru ( nimeona vijana wa bongo fleva wanjifua uwanja wa taifa mahususi kwa sherehe hii) zingetumika kutatua matatizo kama haya.

Hii siku ipite kimya kimya tu maana so far hamna cha kujivunia zaidi ya majuto. Hata ile amani CCM wanayojidai nayo imetoweka.

179313_157352860981857_100001214312304_319376_2304488_n.jpg

Wanawaonea hawa malaika, sababu hawajui lolote lakini ndio hivyo tena wanavalishwa magwanda ya CCM, au hii ni Amri kutoka ngazi za juu kwamba wanafunzi wanapaswa kuvaa nguo za kijani?
 
Mnikumbushe wandugu ni miaka 50 ya uhuru wa nchi gani ni Tanganyika au Tanzania?
 
Hii ni hoja nzito sana. Kwa nini wanaharakati na wapenda maendeleo ya jamii tusihamasishane na kuweka pingamizi la kisheria mahakamani kuzuia serikali kupoteza mabilioni ya pesa kusherehekea umaskini - na kuomba hizo pesa zilizotengwa, angaa nusu yake, ziwanunulie watoto wa shule za msingi madawati!!! Kweli na wasanii wanaoshiriki kuimba ngonjera zisizokuwa na tija wana akili?

View attachment 31313
 
Mkulu wenu wa nchi akipelekewa hiyo picha ataikataa kuwa siyo nchi yake, nchini kwake kuna maisha bora kwa kila Mtanzania, nchini kwake alikopesha bilioni moja kila mkoa ili mjikwamue na umaskini afu hali zenu bado ziko hvyo? atasema hyo ni photoshop na ni propaganda za CDM wanapandikiza chuki kwa wananchi ili waichukie serikali yao. WE UNADHANI ATAJIBU NINI ZAIDI YA HAPO????? Nilikuwa napita tu wadau
 
maskini watoto hawa, tena wapo eneo nyeti linaloingizia hii nchi mamilioni ya shilingi kwa mwaka. Watoto wa umasaini wakiwa darasani. Nini cha kujivunia miaka 50 ya uhuru kama hali bado mbaya hivi? Hizo fedha wanazoandalia sherehe ya uhuru ( nimeona vijana wa bongo fleva wanjifua uwanja wa taifa mahususi kwa sherehe hii) zingetumika kutatua matatizo kama haya.

Hii siku ipite kimya kimya tu maana so far hamna cha kujivunia zaidi ya majuto. Hata ile amani ccm wanayojidai nayo imetoweka.

179313_157352860981857_100001214312304_319376_2304488_n.jpg

cha maana wamevaa rangi ya chama cha matajiri
 
Hii ni hoja nzito sana. Kwa nini wanaharakati na wapenda maendeleo ya jamii tusihamasishane na kuweka pingamizi la kisheria mahakamani kuzuia serikali kupoteza mabilioni ya pesa kusherehekea umaskini - na kuomba hizo pesa zilizotengwa, angaa nusu yake, ziwanunulie watoto wa shule za msingi madawati!!! Kweli na wasanii wanaoshiriki kuimba ngonjera zisizokuwa na tija wana akili?

View attachment 31313

imeshapitishwa mkuu hapo ni utelekezaji tuu
kama mazoezi tayari yameanza tegemea kuwa mambo ndo yashaiva
 
Hii ni hoja nzito sana. Kwa nini wanaharakati na wapenda maendeleo ya jamii tusihamasishane na kuweka pingamizi la kisheria mahakamani kuzuia serikali kupoteza mabilioni ya pesa kusherehekea umaskini - na kuomba hizo pesa zilizotengwa, angaa nusu yake, ziwanunulie watoto wa shule za msingi madawati!!! Kweli na wasanii wanaoshiriki kuimba ngonjera zisizokuwa na tija wana akili?

View attachment 31313

hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako, ina maana hakuna uwezekano wa kupinga Sherehe hizi? sababu sioni umuhimu wake zaidi ya kuwanufaisha wachache, Vyama vyetu vya upinzani na Wanaharakati mko wapi?
 
Duuuh haya ndo maisha ya wengi vijijini,kuna ulazima wa kufurahia miaka 50 kweli hapa mbona ni kama kujidhalilisha tu??
 
Back
Top Bottom