Kudumisha mila kwa kujitia kilema ni ujinga.

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Serikali inakataza ukeketaji (japo unasaidia kupunguza nyeg*) na inakataza kurithi wajane (japo kunasaidia kutunza wajane na watoto wadogo wa marehem). Lakini naishangaa serikali kutokataza mila za kujitia kilema kama kutoboa masikio tundu kubwa hadi mkono unapita na kutoboa pua tobo kubwa hadi dole gumba linapita na kuweka ndonya. Pia kung'oa baadhi ya meno au kuyachonga. nk,nk. Nashauri serikali ipige marufuku mila kama hizo. NB: mada haihusiani na kutahiri wanaume. Naomba kuwasilisha kwa mjadala.
 
Serikali inakataza ukeketaji (japo unasaidia kupunguza nyeg*) na inakataza kurithi wajane (japo kunasaidia kutunza wajane na watoto wadogo wa marehem). Lakini naishangaa serikali kutokataza mila za kujitia kilema kama kutoboa masikio tundu kubwa hadi mkono unapita na kutoboa pua tobo kubwa hadi dole gumba linapita na kuweka ndonya. Pia kung'oa baadhi ya meno au kuyachonga. nk,nk. Nashauri serikali ipige marufuku mila kama hizo. NB: mada haihusiani na kutahiri wanaume.Naomba kuwasilisha kwa mjadala.

Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!
 
Hahahahahahahahaha
Wangu umeua!
Usimalizie!

Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!
 
Duuuu maisha ni kuvumiliana kwani no one is parfect
 
Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!

Hahaaa Madame B you made my day. Nilikuwa na stress sana leo ila mambo saafi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Na sie wanawake tunawavumilia sana kwa jinsi hali tunazokutana nazo ndani ya kuta 4.
Hata nyingine zina kilema.
Hvyo mada inaangukia palepale,
Nanyi msitahiriwe vibaya eti kwa kuwa mnadumisha Mila!!

Ukila embe bovu usiliangalie.
 
kuchonga meno,kutoboa sikio au pua,kuweka ndonya yote hayo hayana athari kiafya na si ukiukwaji wa haki za binadamu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom