Kudisco chuo na kupata usaili upya

Basi wasomi wa siku wana matusi kabla hajakuelesha anakupa kwanza tusi akija msomi mwenzake na tusi ndo elimu ya siku hzi bongo inaonekana takataka
 
rejea kichwa hapo juu labda umedisco mwaka wa mwisho unaweza endamalizia chuo kingine nina dogo kazingua telecomm udom nataka aende st josoph amalizie mwaka wa nne.
 
Haiwezekani!labda kama ungekua hujadisco,ungeweza kutransfer credits.
 
unaweza kutransfer but kwenda chuo cha private kama KIU mm kuna mdogo wangu amedisco medicine UDOM now yupo KIU ametrasfer credit
 
Unajua maana ya ku dico? Ni kifeli. Chuo gani kitampokea mtu aliyefeli chuo kingine aje aendelee na madomo kwao?
 
yan ww hata uende uko unapotaka kwenda kudisco kukopale pale kusoma sio fani yako
 
telecommunication
telecommunication engineering angalia vyuo kama zanzibar university,wanayo pale na nahis now ndio wamemaliza mwaka wa wa 3 kwa intake yao ya kwanza,pia KIU wana computer engineering unaweza kucheck pia,vyuo vya serikali vyengine vinaruhusu ila wanataka uwe hujadisco kwa examination irregularities,kama open university and so on..so jaribu kuangalia uwezekano...all the best na pole sana but usikate tamaa zote ni challenge za maisha tu hizo so unatakiwa uwe strong.;
 
mtu adisco mwaka wa nne unasema kusoma sio fani yake think twice.

huyo hana tofaut na kusoma miaka saba alafu huendi form one what matters ni kumaliza masomo sio kuishia njiani..huyo ni failure tu
 
yan ww hata uende uko unapotaka kwenda kudisco kukopale pale kusoma sio fani yako

jaribu kuwa mtu mzima basi,yeye ameomba ushauri kama unaona kusoma sio fani yake ww inakuhusu nini..kwn wenzako waliokaa kimya ni wajinga?amedisco T.O pale coet itakua huyu?kudisco sio kama hujui inategemea na situation,kama unataka kujua kudisco ni nini nenda pale COET ndio utajua watu na akili zao wanaliwa vichwa,usiwe unasoma st joseph then unaona kudisco ni ukilza,
 
Mwambie huyo kilaza.. Darasa letu la civil engineering hapa CoET. Tulikua wanafunzi 200 mwaka 2012..na mtu wa mwisho alikua na division 2 ya points 10..mpaka navoandika hapa tunaoingia mwaka wa 4.tupo 169 tu.. Hao wengine wote wamedisco..
Kudisco sio lazima uwe kilaza.. Inategemea unasoma course gani, unasoma chuo gani na unafundishwa na nani...
 
Back
Top Bottom