KUDIDIMIA KWA CCM ARUSHA: Mabalozi 6 wajivua gamba Moshono!

Mabalozi sita wa chama cha mapinduzi ktk mtaa wa sekei moram kata ya moshono wamevua gamba na kujiunga na chadema.CHADEMA MOSHONO TUNA MAOMBI YA WENGINE WATANO AMBAO BADO TUNAWACHUNGUZA.MTAA WA SEKEI MORAM NI KAMA HAKINA UONGOZI BAADA YA MWEKITI KUTOITISHA MKUTANO KWA MWAKA NA NUSU KWA HOFU YA ANAOWAITA CHADEMA kutokana na ubadhirifu aloufanya.Wateule hawa wanataka kadi na bendera,so we stil 2nawasiliana na uongozi wa wilaya.

Mungu yu pamoja nasi, mkuu unaweza kuwa na hayo majina ya hao wajumbe?
 
Hilo jimbo la Ole Medeye ndio jimbo langu na kituo cha changu cha kupigia kura...kwa ufupi Jimbo ni la Chadema, isipokuwa katika uchaguzi kulikuwa na tetesi kuwa mgombea wa CDM yule mzee wa kimasai, Daniel Ole Kisambu alirubuniwa na Lowassa kwa kupewa mil 100, vijana wakajawa na jazba wakataka kumtoa roho, akafichwa kusikojulikana...muda mrefu hakuonekana ila siku hizi amerudi na anatembea kwa tahadhari kubwa, ukimpigia simu hapokei kama hiyo namba hajaihifadhi katika simu yake.
 
Back
Top Bottom