KUDIDIMIA KWA CCM ARUSHA: Mabalozi 6 wajivua gamba Moshono!

Hv ni kwanini member mwenye jina tajwa anajidhalilisha kihivi?

Anashindwa hata kuedit thread?
Hakuna mtu mwenye jina kama hii tajwa hapo juu mwenye maandishi km haya!

Mi cjakusoma kabisa!
 
Join Date : 23rd April 2012
Posts : 6
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
Hivi mnaposema 'amejivua gamba' maana yake ni kuwa CCM ndio gamba lenyewe?
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai

Jf imeingiliwa! shulee iko sumbua!

e
 
huu mwezi umekuwa mgumu sana kwa nape kwani kokoro la cdm imeharibu hadi mazalia ya samaki...

Katibu mwenezi kama chama hakienei bali kinadidimia anatakiwa kuachia ngazi maana hatuoni results za kazi yake...
hv arusha hii yoote ni kwasababu ya kutolewa ubunge lema nini????
Imekuwa too much sasa!
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai

???????????????
 
Katibu wa CCM Mkoa Arusha Mary Chatanda yuko wapi? Walio Arusha mwiteni atoe utetezi wake kulikoni.

niliwahi sema humu,,,,,ccm ni zaidi ya hapo,,,,,,nikatoa chang,amoto,,,,,muulizeni mama chatanda,,,,mama yake yuko wapi anafanya nini na kwa nini ,atoe maelezo,,kama yupo humu aseme,,,,,,,ma chatanda,,,ulikua katibu wa ccm same uchaguzi wa 2000,,,,,,ukapanda ukawa katibu wa ccm mkoa morogoro,,,,,,,ukapelekwa arusha,,maalum kumng,oa dr,slaa,,,,nguvu za mungu zikadhihirika,,,,japo ukapatia ubunge tangaaa,,,,,,,nguvu za mwovu ni za muda ,,za mungu za dumu milele,,,,,,,ukavuruga umeya arusha damu ikamwagika,,,,,leo vijana wananyongwa arumeru,,,,,,,,,,,ipo siku,,,siku hiyo yaja upesi tutaimba wimbo,,,,,,,,naam wimbo wa washindi,,,,,tutalia kwa furaha,,,freedom is coming soon,,,,,,,,,,,,,,,,///////////,hamia chadema wewe,na jamaa zako , m4c ,,,,,,,,//////////////////tuma ujumbe huo kwa watu wote kwenye simu yako,,,,ni ombi,,,au vipi,,,,,,,,,,:A S 41:
 
nibaada ya zaidi ya viongozi wa tano wa ccm kuamia chadema,akiwemo diwani mawazo wakata ya sombetini ambae kwa sasa yupo kima silai yake binafsi na sikwajili ya wananch kwa sasa,kwani nitabia yao yake ya kuama vyama sasa yupo CHADEMA,ukonako kafuata upopo wa siasai

Hili ni Gamba Jipya nini?
 
[QUOTE=profesa.n.;...viongozi wa tano....kuamia.... wakata...ambae....kima silai... sikwajili...nitabia...kuama ...kafuata upopo wa siasai

Professa vipi?
Tumia kingereza tu maana Kiswahili kimekushinda
 
Haki ya nani, bora enzi za Chiligati alipokuwa Katibu wa itikadi na uenezi kuliko Nape Nnauye, sijui kama Nape anafanya kazi yake au vizuri au anakula mshahara wa bure
 
Back
Top Bottom