Kudandia Mafuso kukamponza binti wa Kifaransa……………!

dah! inasikitisha sana. kama na polisi wa tanzania wangekuwa na uchunguzi wa nanma hii tusingekuwa na mafisadi wala tume za uchunguzi.
 
Madereva wengi wa malori wanatabia ya kufanya mapenzi na wanawake wanaowabeba atake asitake, so wadada muwe makini na watu hawa!
 
Siyo uingereza tu, hata huku ni risk sana mtoto wa kike kupanda roli, labda ndugu wa karibu.
Mzazi makini hawezi kuruhus bintiye apande roli, kwa namna yoyote ile atapanda public transport, otherwise, no safari.
 
mhm!!!, inatisha ndugu zangu. kumbe kuna binadamu wana roho mbaya nimeamini. pia nasi tuwe makini na kuomba lifti na watu tusioaajua au tusikubali kwa watu tunao watilia mashaka.
 
Back
Top Bottom