Kudadeki pati ya bongo movie...

shededeee wema, huo mpunga aliotoa ndo kapewa na yule mke wa mtu sio? jamani wema ni wa kawaida sana ila anawachota madume kwa mikogo yake na umaharage wake wa mbeya, ila si demu wa kiwango kileeee, kuna watu km aunt ezekeiel nk wako vizuri kuliko yy.Anyway party ilikuwa nzuri ila full kuiga na kuringishiana mavazi nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom