Kudadadaadeki!

hahahahah Captain bana ,

siku hizi ukiwa na fedha kila kitu kinawezekena ..
Hawa wachina na mavitu yao feki wanatajirika sana yaani..
ukiwa mvivu wa kufanya exercise .. mchina yupo kukupa
shortcuts. Yote maisha lakini ilimradi unapata utakacho..

Utaona celebrate kajifungua leo ,
ndani ya wiki yuko beach kakupigia bikini..
unabaki kuwaza mara mbili mbili mmmhhh

Naam Rubani, siku hizi ni pesa yako tu ukiwa nazo za kutosha hakuna kinachoshindikana under the sun. Mtu atachongwa pua, mashavu, kidevu na hata macho hadi aipate sura aitakayo. Na kama ana figure mbovu mbovu basi atapigwa msasa :peep: :):):) na kupata figure ya kukata na shoka. Akitoka hapo akipita mtaani Wanaume macho juu juu udenda unachuruzika :):):):majani7: kumbe mdada hana chochote kile ambacho ni original toka kwa Muumba wetu.

BAK, do u watch Dr 90210? Wachina wametuletea maskini a short cut kwa kuleta options za bei chee hata watoto wa magomeni tuzi-afford. Lakini most hollywood celebs wamefanyiwa kazi sema sio za kichina. Niliona mwanaume anawekewa reli zile za tumbo za silicone, katoka hapo kama gym trainer! Watu wanaongeza vigimbi, videvu, g-sport etc. Human race has become too desperate!
Naam Rubani, siku hizi ni pesa yako tu ukiwa nazo za kutosha hakuna kinachoshindikana under the sun. Mtu atachongwa pua, mashavu, kidevu na hata macho hadi aipate sura aitakayo. Na kama ana figure mbovu mbovu basi atapigwa msasa :peep: :):):) na kupata figure ya kukata na shoka. Akitoka hapo akipita mtaani Wanaume macho juu juu udenda unachuruzika :):):):majani7: kumbe mdada hana chochote kile ambacho ni original toka kwa Muumba wetu.

  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi Amerika ya marekani kuna uhaba wa maji? Mbona huyu Nick Minaj ana tongo tongo?
 
Hivi Amerika ya marekani kuna uhaba wa maji? Mbona huyu Nick Minaj ana tongo tongo?

Hahahahah lol! Siyo tongo tongo hizo banaaa....ni upakaji wake wa wanja na madudu mengine pembeni ya macho sijui ndiyo yanaitwa mascara ndiyo yanamfanya aonekane kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom