Kudadadaadeki!

Dahhhhh! Sidhani kama hili ni la kawaida:behindsofa:...labda la kuchonga
 
kama amezaliwa hivyo nampa hongera
na kama ni mchina kamfanyia kazi nzuri ...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ulemavu au mutation ya kiuongo kimoja?!

G sijui kama hii ni kazi ya Muumba wetu au ni shughuli za kuchonga, lakini kama ni kazi ya Muumba wetu basi hakuna ubaya wowote ule kusifia kazi ya Muumba. Sasa kama unataka kuita ni kilema basi Wanaume wengi tuna vilema :):):) sijui hiki kitaitwa kilema kipi....labda kilema cha macho :):)
 
Hebu kula tano Rubani...kama la mchina basi WIZI MTUPU!!!!

Sema captain ..

Dahh wachina wanajua kuchonga wewe..
wengine hutofautishi kama ni la muumba au mchina..
either way limemfaa kwa kweli..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sema captain ..

Dahh wachina wanajua kuchonga wewe..
wengine hutofautishi kama ni la muumba au mchina..
either way limemfaa kwa kweli..

Hongera zao hao wachina, siku hizi imekuwa kazi kweli kujua kama kitu ni cha mchina au kitu original toka kwa Muumba. Hata yule Nick Minaj ana umbo la kukata na shoka lakini inadaiwa ni la mchina.

nicki-minaj-thickness.jpg
 
Hongera zao hao wachina, siku hizi imekuwa kazi kweli kujua kama kitu ni cha mchina au kitu original toka kwa Muumba. Hata yule Nick Minaj ana umbo la kukata na shoka lakini inadaiwa ni la mchina.

nicki-minaj-thickness.jpg

hahahahah Captain bana ,

siku hizi ukiwa na fedha kila kitu kinawezekena ..
Hawa wachina na mavitu yao feki wanatajirika sana yaani..
ukiwa mvivu wa kufanya exercise .. mchina yupo kukupa
shortcuts. Yote maisha lakini ilimradi unapata utakacho..


Utaona celebrate kajifungua leo ,
ndani ya wiki yuko beach kakupigia bikini..
unabaki kuwaza mara mbili mbili mmmhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom