Kuchukua Coordinates za eneo lako au unalotaka kulimiliki

Mm eneo langu linahitaji amendment,coz kuna kipande apaonekani kwenye mchoro
 
Hivi simu yangu ina Software za GPS, Longitude and Latitude n.k Nikichukua coordinates mwenyewe si unanipatia TP? Kama nimeelewa anyway
 
Hivi simu yangu ina Software za GPS, Longitude and Latitude n.k Nikichukua coordinates mwenyewe si unanipatia TP? Kama nimeelewa anyway
Sidhani kama accuracy ya simu inatosha kufanyia kazi. Tafuta mtu mwenye GPS au Total station.
 
Wewe ni mwizi wa mchana kweupe, mimi nilichukua jamaa akachukua hizo GPRS cordinates na akaniomba Tsh 15,000/= tu za kulipia wizarani na baada ya two weeks tulionana na akanipa ramani yangu, iweje wewe kazi hiyo udai laki tano kama sio tapeli? Namshukuru huyo jamaa alinielimisha sana kuhusu matapeli kama wewe mleta mada
TUSAIDIANE BWANA, NIPE CONTACT NAMI ANISAIDIE
 
Kwani nikitumia smartphone yenye GPS si napata coordinates tu au mpaka utumie DGPS?
Suala kubwa hapa ni usahihi(accuracy) ya hicho kifaa. Na inaaminika simu usahihi wake ni mdogo mno. Inaweza kuhamisha point kwa meters nyingi sana. Pia hata GPS haina usahihi mkubwa kama wa Total Station, ila kwa sababu ya gharama watu huwa wanaamua kutumia GPS kwenye hatua hizi za mwanzo.
 
unafahamu chochote kuhusu maeneo ya kipunguni mashariki yaliyopo kitunda nyuma ya uwanja wa airport daresalaam na reli je ni halali kwa makazi? kuna mgogoro wowote nijuze kwa uzoefu wako au kama inavyoonekana ktk ramani hap ofsini kwako.
 
Mpaka tuchukue coordinates mkuu, ndo tutajua kama ni halali kwa makazi au si halali.
 
Tuelimishane kidogo unachukuaje coordinate mpaka ufike site? unalifahamu hili eneo nililokutajia? Ahsante
Mpaka nifike site ndiyo. Wewe ndo utanipeleka eneo husika ambalo unalilenga kwa maulizo yako. Mimi nitachukua coordinates then nitaziingiza kwenye mchoro. Na nitakupatia mchoro huo ukiwa unaonesha eneo hilo tulilochukua coordinates zake limetengwa kwa ajili ya nini.
Nipigie kupitia 0657317631.
 
Back
Top Bottom