Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.


Wanaume tuna kazi?
Women liberation kwenye mahusiano ya mapenzi ni ndoto kabisa!
 
Erotica duuh kwa kweli kwa style hiyo lazima mtu uwe na stress za kuwaza itakuwaje siku ya kukutana na huyo aliyekutamani kwa kujipigilia madude feki.
Hapo kwenye mahips ya bandia,naombeni mnieleweshe,hivi hayanuki na joto? au usafi wake unakuwaje ,unafua kila siku usiku ukilala au mtu unakua nayo mengi?kwa kweli nywele kucha nitatengeneza ila mahips ya bandia hapana kwa kweli,ili iweje sasa,naona kama sitakua namdanganya mtu bali najidanganya mwenyewe.
queenkami una akili wewe! Hapo mimi hata sikufikiria. Si umeona nimesema
nina mpango huo yani bado nakusanya mawazo mbali mbali hapa.
 
Last edited by a moderator:
Duh cjui utasomekaje . . kwan jamaa akiona hips hesabu zitaanzia hapo. ngoma akikuta flat duh nadhan hawa kwa viagra haisimami


teh teh teh. sasa unanishauri nifanyeje?
 
Leo nilismamia kesi ya mod flani (jina linahifaziwa) , aliingia mitini na hela ya watu ya mchango wa ndoa ya mkeka, kesi ilikuwa ngumu lakini dalili zinaonesha mod wetu atakuwa huru vere soon chini ya usmamizi wangu.


teh teh teh. hio story nimesikia. asije akawa ni Buchanan?
 
Hapo bold kwanza kuyaita Mapenzi unatohoa na kuchujua neno Mapenzi.
Hapo haina wasi wasi mbona. kama Preta alivosema kwanza mnakua mmelewa,
sidhani hata kama kuna kuvua nguo zote wakati wa kungonoka. Hayo ya pili ndio
hasa nataka kujua. Mana wa hivo mnaweza oga wote na mikeke kibao! Imagine
unaenda kuoga kope inadondoka. aibu!

NIkwambie kitu?
Kama biashara yako inalipa, hata hips likianguka jamaa hatajari.
Cha maana biashara ilipe and not otherwise.
Si umeshaona/kusikia wanaume wanapanga foleni kwa mwanamke polygon wa nguvu....
Kama ni uongo, Wanaume watafunguka.....
 
Si una pochi kubwa? wakati jamaa anajiandaa, na wewe unajifanya kwenda toilet, then unachojolea huko huko, na kuvaa utafanya hivyo hivyo.

Kama mashine yako inalipa na wewe mwenyewe umo, jamaa atasahau vyote hivyo.
Nakwambia ukweli wangu.....
Okada wewe wa ukweli. Hii nitaifanyia kazi. Ila nina swali, mwanamke
atajua vipi mashine yake inalipa kabla hajakutana kimwili na mwanaume?
 
Last edited by a moderator:
Nakubali. Mimi ni mwanamke I understand better. selfesteem
as a reason ipo chini ya ile ya kuonekana desirable. I gurantee you.
That is wat poses the problem, knowing I look amost perfect while knowing
I have been enhanced by more than 50%. The question remains how do I get
that 50% off without feeling less of how I looked before?
DESIRABLE.., !!!, that's a relative term...
whats more desirable a booty enhanced with some cloth or a flat booty (or normal booty) naked without any cloth..?
Eyes full of Wanja... or Normal Eyes (no matter how they look) but full of invitation and calling, saying am ready for you?
Hips hidden by a cloth.., or hips just natural with a skin kama vile ulivyozaliwa..?

Point yangu ni kwamba kama mtu amekupenda ukiwa umevaa there is more alichokupendea (unless its lust) na ukiwa naked am sure atavutiwa zaidi (and whats every woman has is enough to satisfy any man).. LAKINI tatizo huwa ni kwa muhusika mwenyewe mwenye mwili maybe not feeling confident kwenye her own skin..

Hivyo basi wigs / nails and the like might be more effective nje na sio inside a room (thats why kuna wanawake wakifika home wanatundika their extras.., because their job is done.., what needed within the four walls of the room comes from within)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom