Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Nimejaliwa miguu lakini hips sina, nina mpango wa kununua spandex yenye sponji za kuongeza hips.
Nimejaliwa macho makubwa na mazuri, shughuli ipo kwenye kope, ka vile hazipo, nina mpango
wa kupachika. Nina kitambi dizaini kwa mbali, na ukimbao mbao huu kanajitokeza naona tu ninunue
belt la kuminya tumbo ukivaa nguo.

Kucha natafuna sana ila haina shinda nitabandika za bandia
nionekane mrembo. Nywele ni za kipilipili, nikinyoa kama Flaviana naonekana mwanaume,
nakua sina jinsi zaidi ya kubandika weaving au kuvaa wigi.

Swali kwa akina dada wote ambao pia
wanatumia hivi viwezeshaji urembo, inakuaje siku unampango wa kukutana kwa ajili ya sex
na boyfriend wako. lets say weekend nzima? Unachojoa vyote hivo mbele yake?
yani wigi, kucha, hip spandex, kope, n.k pembeni na yeye anaona?

Au akina kaka wenye girlfriends ambao wanatumia viwezesha urembo hivi wapenzi
wenu wanatoa mbele yenu? Nipeni maujuzi siku ya siku huwa vitu feki hivi vinafanyweje?

Mwaaaaah.
 
sipendi hayo makitu kusuka tu huwa naona tabu wenzangu sijui wanawezaje huwa hayawapi kero?
 
Inategemea. kama ni mpenzi wa kweli hadi mtakapoenda ku du, lazima nakuwa ameshafanya viukaguzi vya hapa na pale, kama vile kuingiza mikono mapajani wakati mnacheza au mkiwa kwenye gari au sehemu nyingine yeyote. So, akivikuta kama ni wa kusepa atasepa, akibaki basi siku hiyo wala hashangai.
Kama ni "mpenzi" wa "chapchap", unavulia kwenu halafu siku hiyo unaenda na dela...
 
Na mwanaume Gari la kuazima; gheto la mshikaji, fweza mkopo; halafu mnaenda vekesheni Ngorongoro.

Haya mkifika huko, libido boosted by dawa za kimasai!

Anyway; ngoja waje! Mimi najaribu kuwa as natural as l can, ili atakayenipenda anipende jinsi nilivyo!
 
Kama ungekua na mimi ningekutengenezea mazingira ya kukufanya ujiamini na ujione wa thamani jinsi ulivyo.Usingehitaji kujiongezea chochote.Kwa kifupi NINGEKUPENDA!Hivi ndo mwanaume anatakiwa awe!

Tatizo linakuja siku umenitongoza vyote hivo ninavo mwilini
hio confidence itoke wapi na hali najua viwezesha urembo vimecheza nafasi yake?
 
sipendi hayo makitu kusuka tu huwa naona tabu wenzangu sijui wanawezaje huwa hayawapi kero?

Kwa kweli ni kero. Mwenzangu labda wewe kisura
umejaliwa hata ukiwa na kipara unaonekana mrembo?
 
... Dawa ya dada wa kichinachina ni kaka wa kichinachina!
Mathematically: Fake x Fake = Original

teh teh teh. hebu taja sifa za huyo kaka basi. ili walau niwe nachagua hao wakinitokea.
 
Inategemea. kama ni mpenzi wa kweli hadi mtakapoenda ku du, lazima nakuwa ameshafanya viukaguzi vya hapa na pale, kama vile kuingiza mikono mapajani wakati mnacheza au mkiwa kwenye gari au sehemu nyingine yeyote. So, akivikuta kama ni wa kusepa atasepa, akibaki basi siku hiyo wala hashangai.
Kama ni "mpenzi" wa "chapchap", unavulia kwenu halafu siku hiyo unaenda na dela...

inaelekea mkuu unaukaujuz...naomba tuition
 
Inategemea. kama ni mpenzi wa kweli hadi mtakapoenda ku du, lazima nakuwa ameshafanya viukaguzi vya hapa na pale, kama vile kuingiza mikono mapajani wakati mnacheza au mkiwa kwenye gari au sehemu nyingine yeyote. So, akivikuta kama ni wa kusepa atasepa, akibaki basi siku hiyo wala hashangai.
Kama ni "mpenzi" wa "chapchap", unavulia kwenu halafu siku hiyo unaenda na dela...

Tuko una vituko! teh teh teh. Nimeipenda hio ya dellah, haimkatai mtu.
nitajuaje huyu ni mpenzi wa chap chap na huyu is for keeps?
 
Last edited by a moderator:
bibi wee....inakuwaga shida sana......mimi huwa nasubiri tulewe chakari ndio shughuli iendelee....na ni mwiko kuover night....
hivi hizo gharama zote nilizotumia atanirudishia.......?
 
Erotica,unajua mimi kama mwanaume huwa nikimhitaji mwanamke huwa namfanya asijisikie kuwa sikuvutwa mwili wake,hivyo nitakua nimemtengenezea mazingira ya kuniambia ukweli juu yake.Kama ukimwonesha mwanamke kuwa umevutwa na mwili matatizo kama haya hutokea!
 
Last edited by a moderator:
Na mwanaume Gari la kuazima; gheto la mshikaji, fweza mkopo; halafu mnaenda vekesheni Ngorongoro.

Haya mkifika huko, libido boosted by dawa za kimasai!

Anyway; ngoja waje! Mimi najaribu kuwa as natural as l can, ili atakayenipenda anipende jinsi nilivyo!

Dawa kamili ndio hiyo. Kaunga wanaume wenyewe ndio hawa wa mjini.
Ukiwa naturale hawakuoni labda uwe mzuri naturale hasa. Inakuaje
unataka upate bwana wa haja na ukiwa naturale uvutii?
 
Nimecheka mpaka basi!
Erotica na Kaunga thanks.

Bashaija nafurahi nimekupunguzia stress. nimekuona mahala unalia kweli kweli.
toa mawazo yako basi hujawahi kutana na sampuli hii unipe maujanja?
 
bibi wee....inakuwaga shida sana......mimi huwa nasubiri tulewe chakari ndio shughuli iendelee....na ni mwiko kuover night....
hivi hizo gharama zote nilizotumia atanirudishia.......?

hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.
 
Dawa kamili ndio hiyo. Kaunga wanaume wenyewe ndio hawa wa mjini.
Ukiwa naturale hawakuoni labda uwe mzuri naturale hasa. Inakuaje
unataka upate bwana wa haja na ukiwa naturale uvutii?

Ndio maana wanamosa beautiful things in the world kwa kuangalia urembo wa dukani! Umenikumbusha Song of Lawino Kongosho favourite.

Unaweza usipate hao masharobaro au misugardad, lkn mwisho wa siku ukapata real man!
 
Last edited by a moderator:
Erotica,unajua mimi kama mwanaume huwa nikimhitaji mwanamke huwa namfanya asijisikie kuwa sikuvutwa mwili wake,hivyo nitakua nimemtengenezea mazingira ya kuniambia ukweli juu yake.Kama ukimwonesha mwanamke kuwa umevutwa na mwili matatizo kama haya hutokea!

Kitu gani ambacho hukuvutia kwa mwanamke? Kile cha kwanza kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom