Kuchinja kuku wa kienyeji: kisu kisinolewe/kinolewe?...na kinolewe wakati gani?

Pingu sounds like a good idea... na ukimblindfold atakuwa mtamu zaidi...

hata mie naamini nikifanikiwa kumtia pingu hatanichanganya tena lakini pingu nazo kuzipata ni procedure ndefu............ mpaka sijui barua sijui vibali vya akina afande kova etc......

sasa mlolongo huo mpaka ukamilike si ntakuwa nimeishakufa njaa?????????? na kuku je, atakuwa hajaponyoka bado?????????? na kisu nitakinoa saa ngapi??????????
 
kisu ninacho ila kimeishachinja kuku wengi sana na kimekuwa butu,
Kisu kuwa butu sio usithubutu
Nyama hata ngumu kivipi kisu kitathubutu
Wako wasiwasi unaogopa kutia nyama kutu
Zamani sana ulianza kula kutokana na utukutu
Leo wengi umekula wa nyumbani hadi wa msitu
Wazo nakuuzia mle kuku hata kama chukuchuku
 
Dah!!!

Tumetoka mbali sana!!
 
Back
Top Bottom