Kucheza game kutoka torrent

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Msaada tafadhali
Nimedownload FIFA 2011 gb 4.5, Football menager g.b 4.3, nikizifungua zinaenda direct kwenye kuburn kwanza.. nimeburn ila CD still hazikubali kuplay kwa mwenye kufahamu hizi game zinachezwa vipi naomba msaada
 
mkuu mimi nina fifa2011 it is 6gb sasa hiyo yako sijui demo?otherwise you need to install as young master said
 
ndio mkuu nimeburn CG then nikijaribu kuinstal ndo hapo inagoma so sikui kama kuna special Cd tofauti na hizi za kawaida zinaitajika mi nimetumia DVD za 4.7. Demo huwa ni ndogo zina less than 1.5gb ninayo na inaplay. vipi hiyo ya 6gb uliiiburn kwanza? na unatumia CD zipi ama kuna namna ya kuipunguza?
 
Hta hiyo ya 6.3g.b nilidownlload still ninayo but nikdouble click inanitaka niburn so sijui kama kuna CD za capacity hiyo ua help sir ww umeweza vipi kuicheza?
 
Mzee hiyo ya 6.3gb unatakiwa udownload virtual clone drive , hii itakusaidia kumount ilo file bila kuburn kwenye cd,search tu kwenye google utaipata it is free.
 
Hta hiyo ya 6.3g.b nilidownlload still ninayo but nikdouble click inanitaka niburn so sijui kama kuna CD za capacity hiyo ua help sir ww umeweza vipi kuicheza?

What u have to do is to mount it using daemon tools lite or power iso and then install as if it was burned on CD
 
ndio mkuu nimeburn CG then nikijaribu kuinstal ndo hapo inagoma so sikui kama kuna special Cd tofauti na hizi za kawaida zinaitajika mi nimetumia DVD za 4.7. Demo huwa ni ndogo zina less than 1.5gb ninayo na inaplay. vipi hiyo ya 6gb uliiiburn kwanza? na unatumia CD zipi ama kuna namna ya kuipunguza?

hiyo 6.3gb sikuburn. Google software inaitwa power iso then install it. Itakusaidia kusoma hilo file la fifa lionekane kama umeshaliburn kwenye cd kumbe hujaburn. Download kwanza software ya power iso then rudi kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia hiyo software kuinstall game zako za 6gb bila kuburn kwenye cd.
 
Back
Top Bottom