Kuchelewesshewa fedha ya Kujikimu

Baba Johnson

New Member
Dec 8, 2011
4
0
serikali imetoa maagizo kwamba ajira mpya zinavyotoka watumishi wasicheleweshewe fedha za kujikimu lakini ali tofauti kwa manicipaa ya LINDI.
 
sasa wadau wilaya ya mufindi nikilio tuuuuu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nina dadangu ameajiriwa january hii kilimo na mifugo wilaya ya moja hapa nchini na kapewa barua na Mkurugenzi wa maendeleo wa Wilaya kuwa hawatalipwa kujikimu na mshahara hadi mwezi wa nne, hata sijui nimsaidieje mdogo wangu tena wa kike!!!! na kazi ashaanza!!!!!
 
Mwenye taarifa kuhusu tanga jiji,
wanalipa tafadhali kuna sister hapa anahitaji kuelewa
 
tanga jij bado hakueleweki wamesema hela bado hazijaja na mkurugenz amesema ametuma maafisa elimu watatu kufuatilia amesema labda baada ya siku saba taarifa za leo nimetoka kuripot
 
Naomba utuambie wapi wamelipa kwa siku 14 na wametumia waraka wa lini ili tuzibane halmashauri zinazolipa kwa cku 7!..jb plz-
 
tanga jij bado hakueleweki wamesema hela bado hazijaja na mkurugenz amesema ametuma maafisa elimu watatu kufuatilia amesema labda baada ya siku saba taarifa za leo nimetoka kuripot

mkuu habari zako ni kweli tupu,
kwani hata mimi mwenyewe nimefika nikaambiwa hivyo hivyo, na mbaya zaidi nikaambiwa kuwa D E O alikuwa mkali kama mbogo kwa waalimu walioripoti tangu j5,
pia nimeambiwa kuwa mkurugenzi ni mchakachuzi balaa,
dah walimu tunakandamizwa sana ,
mwenye uwezo kutusaidia tafadhali
 
Watu wa Dsm fedha zenu mje wote mchukue Jumatano,baada ya hapo mtaenda wenyewe hazina kumdai Mkulo.
 
mkuu habari zako ni kweli tupu,
kwani hata mimi mwenyewe nimefika nikaambiwa hivyo hivyo, na mbaya zaidi nikaambiwa kuwa D E O alikuwa mkali kama mbogo kwa waalimu walioripoti tangu j5,
pia nimeambiwa kuwa mkurugenzi ni mchakachuzi balaa,
dah walimu tunakandamizwa sana ,
mwenye uwezo kutusaidia tafadhali

kama hamuwezi kujisaidia nani wa kuwasaidia kazeni buti mkiwachekea mtakiona mpigie Mlugo au wa tamisemi
 
Back
Top Bottom