Kuchelewa mishahara ni vyuo vyote au sua tu?

Kwani tatizo ni nini hadi ulalamike hivyo mkuu? Mbona hayo ni mabadiliko tu ya tarehe ya kulipwa mshahara, lakini muda unaotakiwa ufanye kazi ili upewe mshahara wako ni ule ule. Mfano mshahara wa mwezi wa 6 umelipwa tarehe 25/6/2012 na mshahara wa mwezi wa saba ukapokea 25/7/2012 siku za kufanya kazi hadi kulipwa mshahara mwingine ni 30. Hivyo kama SUA walikulipa mshahara wa mwezi wa tano tarehe 1/6/2012 inabidi usubiri siku 30 ili ulipwe mshahara wa mwezi wa 6 ambayo tarehe ya kulipwa ni 1/7/2012. Kwa hiyo kama kesho hutapata mishahara wako ndiyo unaweza kuanza kulalama.
 
kwani huko SUA kwenu hamna vyama vya wafanyakazi mbaka ubandike mambo yenu humu?
 
Kwani tatizo ni nini hadi ulalamike hivyo mkuu? Mbona hayo ni mabadiliko tu ya tarehe ya kulipwa mshahara, lakini muda unaotakiwa ufanye kazi ili upewe mshahara wako ni ule ule. Mfano mshahara wa mwezi wa 6 umelipwa tarehe 25/6/2012 na mshahara wa mwezi wa saba ukapokea 25/7/2012 siku za kufanya kazi hadi kulipwa mshahara mwingine ni 30. Hivyo kama SUA walikulipa mshahara wa mwezi wa tano tarehe 1/6/2012 inabidi usubiri siku 30 ili ulipwe mshahara wa mwezi wa 6 ambayo tarehe ya kulipwa ni 1/7/2012. Kwa hiyo kama kesho hutapata mishahara wako ndiyo unaweza kuanza kulalama.

wamelipwa Tamisemi tu, huenda fedha yetu inataka kwenda kwa madaktari mwe!
 
Nimeajiriwa mlimani sasa karibia mwaka na nusu,siwahi pata mshahara kabla ya tarehe 4.Sucks......:redfaces:
 
Back
Top Bottom